Ukiona hivyo chezaji lako la hovyo.Hata sub ya Maguire kamuingiza Dier badala ya White.
Sasa nyinyi mnataka timu ya taifa ijazwe vitoto vitupu vya academy?Yule Southgate sijui ana shida gan na wachezaji wa arsenal, hata Ben White kamuita Baada ya maneno mengi
Hata Pickford wanasema yupo vzr kwenye footwork lakin ukweli hamfikii Ramsdale .
Hatumtaki huyo babuRonaldo hawezi kuropoka kihivi hivi, kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia kati ya Ronaldo na Arteta. Mtu kama Ronaldo hawezi kumsifia kocha hivihivi. Pia Arteta anaweza kumchukua Ronaldo ili aprove wrong kauli ya Auba kwamab Arteta hawezi kuhandle "Big Characters"
View attachment 2423794
Ana ego na atalazimisha apangwe kila mechi mamaeee na alishachoka.Hatumtaki huyo babu
hatuwezi kumlipa mshahara ili akae benchi
NeverRonaldo hawezi kuropoka kihivi hivi, kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia kati ya Ronaldo na Arteta. Mtu kama Ronaldo hawezi kumsifia kocha hivihivi. Pia Arteta anaweza kumchukua Ronaldo ili aprove wrong kauli ya Auba kwamab Arteta hawezi kuhandle "Big Characters"
View attachment 2423794
Atatusumbua ,Arsenal ya Sasa wanakimbia Sana,Ronaldo hawezi kuropoka kihivi hivi, kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia kati ya Ronaldo na Arteta. Mtu kama Ronaldo hawezi kumsifia kocha hivihivi. Pia Arteta anaweza kumchukua Ronaldo ili aprove wrong kauli ya Auba kwamab Arteta hawezi kuhandle "Big Characters"
View attachment 2423794
Wachambuzi wakitoa maoni yao kuhusu timu yao...Sasa nyinyi mnataka timu ya taifa ijazwe vitoto vitupu vya academy?
Kwanza anaisaidia hiyo Academy yenu isipate majeruhi ili mkose sababu ya kujitetea mtakapo kosa kuingia top4 msimu huu.
Wa timu yako wako wangapi na wametoa mchango gani?TUNAWAKUMBUSHA TUView attachment 2424255
Mkuu huyo dogo sio mzimaWa timu yako wako wangapi na wametoa mchango gani?
Blessing for disguise.TUNAWAKUMBUSHA TUView attachment 2424255
Kavurugwa na ARV.Mkuu huyo dogo sio mzima
Dishi limeyumba hapo, umeme mdogo kichwani
Huyu mwamba japo ana Mambo mengi ,ila namkaribisha aiseeHuyu mwamba mkimpata hata kwa miezi 6 tu ubingwa mnabeba View attachment 2424401