Ratiba yetu mwaka huu imekaa utamu Sana aiseeRatiba yetu Baada ya World Cup
Sioni wakutoa hata sare hapa
Sijaona timu hapa inayotuzidi kumiliki mpira ,
Ukiweza kumiliki mpira Basi 80% una uhakika wakushinda mechi .
Arsenal msimu huu kila Mechi karibu zote tunapiga pass 500+ iwe away au home,
Timu zinazocheza Low block Ndio tunazitaka
Ukibisha naweka MsimamoView attachment 2416204
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa ratiba hio halafu hapo bado mna TBC na Man City pamoja na Evarton.Ratiba yetu Baada ya World Cup
Sioni wakutoa hata sare hapa
Sijaona timu hapa inayotuzidi kumiliki mpira ,
Ukiweza kumiliki mpira Basi 80% una uhakika wakushinda mechi .
Arsenal msimu huu kila Mechi karibu zote tunapiga pass 500+ iwe away au home,
Timu zinazocheza Low block Ndio tunazitaka
Ukibisha naweka MsimamoView attachment 2416204
Unamuhesabia everton, Westham,Spurs ,man u , Hawa si Kama wolves tu ,timu za kukaa nyuma zikikutana na arsenal[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa ratiba hio halafu hapo bado mna TBC na Man City pamoja na Evarton.
#Ngoma ya watoto haikeshi.
GAKPO sio kipaumbe tena kwa sasa eeh[emoji599] The club wants to back Arteta in January . A winger is their priority with Mudryk and Facundo Torres both targets
(@sr_collings )[emoji282]
Asilimia 60% ya mechi za Japan anatumika kama LCB au LB before hajacheza arsenal.Mh kuna wacheza mpira wachache sana unaweza sema wanatumia miguu yote na ikawa hivyo mfano Dembele wa Barcelona. Kipimo cha kujua dominant leg angalia mchezaji akiwa anadribble anatumia mguu wa upande upi.
Tomiyasu hutumia mguu gani? Dembele anadribble kwa miguu yote with accuracy, mashuti miguu yote.
Tomiyasu akicheza LB wakati yeye dominant leg ni right inakua rahisi kumzuia winger mwenye mguu dominant wa kushot kucut in na kushut. Ndiyo maana aliwekwa LB ile siku na liva na Salah akaonekana hana anachofanya.
Tomiyasu anaweza kua CB na RB huko LB ni tactical issues tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie £65m si mnaona ni nyingi?Flano Acheni tamaa
SunSport understands United have been tracking Mudryk for a while now, with scouts. Arsenal also believed to be interested. It is unlikely United will go for him in January, after having huge investment in the squad over the past summer.
(@Journo_Slash)[emoji283]
Heee.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie £65m si mnaona ni nyingi?
Endeleeni kusubiria hivyohivyo kama mlivyokua mnasubiria kwa Martinez.
Kwa Mudryk nina uhakika dirisha dogo likifunguliwa tu kuna timu kubwa zaidi ya 4 zitakua zinamgombania.
Tatizo lenu nyie sajili zenu mnazifanya zaidi mdomoni halafu mezani hamna kitu.
Ila msijali mkimkosa Mudryk sisi tutawapatia Ronaldo tena bureeeee.
Kiukweli mm Huyo jamaa sijawahi kumuelewa pamoja na namba zake nzuriGAKPO sio kipaumbe tena kwa sasa eeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie £65m si mnaona ni nyingi?