Tuache wivu ,Wazungu Wana tabia ya ku-appreciate kitu pasipo kuegemea upande wowote ! Pep, na kina sane kumsifia sio hoja Ni Jambo la kawaida !
Tumsubiri afikie kwenye peak (kushinda makombe makubwa ) ndo tuje kumjadili ,,, isije kuwa one season wonder (kitu ambacho sikitegemei )
Pia Pierre akiwa Barca Kuna comments aliongea kumhusu ,,,, let's wait.!! Inaonekana jamaa hawez ku-manage mastar wakubwa,,,, ozil lacca auba (refference )
The future is bright ! Nyota njema huonekana asbh !!!
Juventus will speak with OM and Arsenal so that Tavares gets released from his loan early and can join them
(@FilSport)
Lini arsenal mliacha kutupigia mpira mzee mbona tunawajua toka enzi za wenger nyie ni Barcelona ya England pira la wenger na arteta lipi pira linavutia.mnakuja Emirates ,
Ile mech angekuwepo hata Elneny msingechomoka
Kama Kuna Siku niliwadharau Ni hiyo siku,
Kiungo lokonga 3rd choice ,Lakini mlishindwa kumiliki mpira, mpo home ,
Kaunta attack ikawaokoa,
Kwa timu kubwa iliyotumia £250m ilikuwa aibu kucheza Kama Burney,
Najua hamfurahii huo mpira ,Ndio maana mlipocheza vzr dhidi ya Spurs na Chelsea mlishangilia sana
kwa system ya arteta ;sioni ata play role ipi na ku fit in ata 75% tu..Tavares sio wakuuza, ana vitu mguuni sema He needs game time
Aige uchezaji wa Zinchenko.kwa system ya arteta ;sioni ata play role ipi na ku fit in ata 75% tu..
Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
Anauzwa ,Arsenal Wana option 3 eneo Hilo Zinny, Tierny na TomiyasuAige uchezaji wa Zinchenko.
Akifosi kua kama Tierney atasumbuka kwakua hana defensive awareness kubwa
Hawez kupata namba Arsenal hii ,tuuze tupate pesa tuongezee tulete mtu MwingineTavares sio wakuuza, ana vitu mguuni sema He needs game time
Endelea kuotaLini arsenal mliacha kutupigia mpira mzee mbona tunawajua toka enzi za wenger nyie ni Barcelona ya England pira la wenger na arteta lipi pira linavutia.
bado sihamini kama arsenal mnakikosi cha ku chalange ubingwa ni mtazamo wangu tu.
Zinny majeruhi yanamsumbua.Anauzwa ,Arsenal Wana option 3 eneo Hilo Zinny, Tierny na Tomiyasu
Arsenal Wana cash pesa nzuri soon
Tokea lini Academy team wakachalange ubingwa wa Epl?Lini arsenal mliacha kutupigia mpira mzee mbona tunawajua toka enzi za wenger nyie ni Barcelona ya England pira la wenger na arteta lipi pira linavutia.
bado sihamini kama arsenal mnakikosi cha ku chalange ubingwa ni mtazamo wangu tu.
Kuna wakati Arteta alikua anatumia beki wa pembeni kujaa juu kabisa hasa tukiwa tunashambulia alf LW anaingia ndan kama namba 10s hapo atafiti sana, kama alivyokua anamtumia Tieney na Smith rowe last season, ila season hii nimeona LB anaingia katikat kutengeneza double 6.kwa system ya arteta ;sioni ata play role ipi na ku fit in ata 75% tu..
Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
Tomiyasu anacheza namba zote za Beki,Zinny majeruhi yanamsumbua.
Tomiyasu ni RB.