Ila kasema uhalisia ,hata juzi Rio Ferdinand alimuuliza Pep Kuhusu Arteta akamjibu .Sawa lakini uongee uhalisia unaoeleweka,,,, Mikel ndo anaanza, tumpe muda ! Maneno huumba mkuu!!!!
Otherwise, tuenjoy good game,,, !
🤣🤣🤣Ngoja tuone kama wataweza.Arsenal sasa ubingwa nje nje, nzi wote wameukimbia huu uzi.
Ukicheza na kina lokonga ,nketiah wanazingua Sana ,FACT kwa kweli hata vs Brentford aliubonda balaa hata kwa normal people ukikaa na watu wasiojua automatically na wewe utakuwa hvyo
Hakuna kilichokosewa hapoGnabry
Iwobi
Joe Wilock,,,
Gunners mlikosea Sana kuziacha hizi talents,,, huko walipo wanakiwasha Sana !!!
Wazungu Wana tabia ya ku-appreciate kitu pasipo kuegemea upande wowote ! Pep, na kina sane kumsifia sio hoja Ni Jambo la kawaida !Ila kasema uhalisia ,hata juzi Rio Ferdinand alimuuliza Pep Kuhusu Arteta akamjibu .
Labda Kama hujapendezwa anavyosifiwa na hao, ila jamaa kaanza kusifiwa toka anacheza na kina pochetinho , wakimuona atakuja kuwa Kocha mzuri,
Labda unisaidie na Mimi wapi unaona pamekosewa ? Au hujapendezwa alivyosifiwa au Ni uongo wanampamba TU wote hao, had kina KDB, SANE,n.k Wana appreciate uwezo wake .
Hajafikia peak ,but haizuii kusifiwa .
Nimekupata,,, kwenye football huwa inatokeaga !Hakuna kilichokosewa hapo
Iwobi ,willock walifikia kuwa average players , hata mashabik walipiga kelele Sana hatuwez ku move on na kina iwobi, willock,
Japo kwa Sasa namfatilia Sana iwobi ,anacheza CM pia na AM anauwasha Sana ,
Willock alienda mkopo akauwasha Newcastle akawanusuru kushuka daraja akifunga mfululizo mech karibu 7-8
Ikaja ofa ya £25m mchezaji ambaye arsenal hapati nafasi ,Ni average player
Gnabry huyu issue yake Wenger aliwahi kuiweka wazi,
Ulifanyika uhuni na bayern , Wenger hakutaka kumuuza,
Bayern waliwatumia nadhan bremen Kama sikosei afosi Kuondoka ,wamsajiri kwa dau dogo ,then bayern wakamchukue kwao ,maana Bayern angekuja kumtaka akiwa arsenal angepigwa Bei kubwa,
Kweli, Gnabry alifos Kuondoka akigoma kusain mkataba ,japo Nafas yake kipind hicho ilikuwa finyu
Soma hapa
YouTube
YouTube · beIN SPO...
Wenger claims Bayern manipulated Serge Gnabry's move to Werder ...
Umesema kweli, hamna kocha pale amekariri akina Maguire lazima waanze.Yule Kocha kamuita tu, usitegemee atacheza, england haina kocha
Gnabry
Iwobi
Joe Wilock,,,
Gunners mlikosea Sana kuziacha hizi talents,,, huko walipo wanakiwasha Sana !!!
Mechi dhidi ya man u naona hii mbinu iligoma mkuuTunapokutana na timu inayopaki basi, Martin Ødegaard ndiyo silaha yetu kubwa ku-unlock low block
Uwezo wake wakuuficha mpira kwenye tight spaces ni mkubwa mno
Thank you Real Madrid
Well saidWewe ni kocha mchezaji wa miaka 17 anakuambia anataka kuanza la sivyo anaondoka. Utafanya nini?
Hiyo ndiyo ilikua story ya Gnabry.
Iwobi aliwahi ingia kwenye mechi kalewa. Ana showboat kiasi anaweza ua move ya goli.
Willock was good ila alihitaji game time, shida inakuja kwamba muda yeye anahitaji game time mashabiki tunahitaji matokeo na hatupo michuano mingi.
Foden kwa City kapata game time coz timu ilikua na michuano mingi at the same time wako vizuri hata kwenye ligi.
Mechi dhidi ya man u ni kumbusho juu ya umuhimu wa kua na kiungo mbadala zaidi ya Partey. Ni kweli tumewafunga mfululizo lakini bila Partey ilikua ngumu sana.Mechi dhidi ya man u naona hii mbinu iligoma mkuu
Unaamini huu upuuz wa auba?Wazungu Wana tabia ya ku-appreciate kitu pasipo kuegemea upande wowote ! Pep, na kina sane kumsifia sio hoja Ni Jambo la kawaida !
Tumsubiri afikie kwenye peak (kushinda makombe makubwa ) ndo tuje kumjadili ,,, isije kuwa one season wonder (kitu ambacho sikitegemei )
Pia Pierre akiwa Barca Kuna comments aliongea kumhusu ,,,, let's wait.!! Inaonekana jamaa hawez ku-manage mastar wakubwa,,,, ozil lacca auba (refference )
The future is bright ! Nyota njema huonekana asbh !!!
Mechi dhidi ya man u naona hii mbinu iligoma mkuu
Maisha hayapo hivo, at the moment huwez kuwazui watu kumpa Sifa, labda sisi waafrika wenye roho za koroshoWazungu Wana tabia ya ku-appreciate kitu pasipo kuegemea upande wowote ! Pep, na kina sane kumsifia sio hoja Ni Jambo la kawaida !
Tumsubiri afikie kwenye peak (kushinda makombe makubwa ) ndo tuje kumjadili ,,, isije kuwa one season wonder (kitu ambacho sikitegemei )
Pia Pierre akiwa Barca Kuna comments aliongea kumhusu ,,,, let's wait.!! Inaonekana jamaa hawez ku-manage mastar wakubwa,,,, ozil lacca auba (refference )
The future is bright ! Nyota njema huonekana asbh !!!
Positive things nilishangaa kiungo Lokonga ,Lakini wapo home wanapaki BasiMechi dhidi ya man u ni kumbusho juu ya umuhimu wa kua na kiungo mbadala zaidi ya Partey. Ni kweli tumewafunga mfululizo lakini bila Partey ilikua ngumu sana.