computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Sio Manchester City inawezekana team nyingi leo ikiwemo Arsenal tukawa na mpira mbovu reason ni world Cup next week mchezaji akipata injury ni 2026 ujueThe way it has started at Etihad, Brentford anaweza kum-surprise Man City
Mbwa mwitu leo anaenda kujitafunia mbuzi za Arteta.
Na jinsi wachezaji wao walivyoshiba leo unaenda kupigwa mpira wa maguvu maguvu ili kuwatosha wavulana wa Arteta.
Kuna wachezaji leo wanaenda kupasuliwa kongos
Mbona unateseka wewe jamaa sisi tunapigania namba 4 sio ubingwa ili tuingie champions league,ubingwa mnapigania nyie na city.Ikifika mwezi May mtamkana wenyewe huyo Mateka wenu, mimi ninachokifanya sasa hivi ni kusave tu hizo comments zenu halafu nitawaonyesha kipindi mtakachoanza kulialia humu ndani kua Arteta afukuzwe. View attachment 2414531
Tatizo kum-sign huyu dogo ni open raceIf you haven't already check out this video on Mudryk!
- YouTube
Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.t.co
Tatizo kum-sign huyu dogo ni open race
Tusiweke sana hopes hapa
Wachawi wameshaanza[emoji599]Juve are interested in Mudryk but sources have indicated Arsenal have already made an offer and are
accelerating talks to sign him in January. They’ve been working for months on the deal. View attachment 2412616
Ajichanganye aende akawe flop huko..Nyie endeleeni kubargain bei halafu wanaume wanakuja kupanda dau.
Hivi kwa mchezaji ambae mnaamini ni quality £60 ni ya kukaa na kuanza kulialia kweli?
Juventus tayari ameshaingilia kati na yupo tayari kutoa hio £65 na kama msipomalizana nae muda huu baada ya fainal za kombe la dunia thamani yake itakuwa ni zaidi ya £80.
Umenichekesha kinooma mzee😂🤣Kama mna hamu sana na Barcelona njooni mezani tubadilishane kwenye 16 bora ya Europa.
Arteta hawez kubebewa Hilo bango ,Ikifika mwezi May mtamkana wenyewe huyo Mateka wenu, mimi ninachokifanya sasa hivi ni kusave tu hizo comments zenu halafu nitawaonyesha kipindi mtakachoanza kulialia humu ndani kua Arteta afukuzwe. View attachment 2414531