Arteta knows"Arteta alisema juzi Kati , kwasasa Arsenal imefikia hatua ya kusajiri Quality player na wachezaji wa another level"
[emoji23][emoji23][emoji23] Quality player na wachezaji wa another level mnawataka muwapate kwa £30 sio?
Endeleeni kujivuta hivyohivyo mpaka baada ya fainali za kombe la dunia halafu mrudi mezani kwenye majadiliano ya bei.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnataka mumsajili Mudryk kwa dau la thamani ya Lukonga?Arteta knows
Mambo yakuuziwa mbuzi kwenye gunia hatutaki,
Mfano Chelsea wametumia £300m lakin Kama hawajasajiri
Man u wametumia £250m mchezaji was maana hasa Martinez ,maana Casemiro Hana misimu miwili mbele
Anthony Kama morisson TU
Hivo kwenye usajiri Kuna hitaji utulivu
Taratibu hata £50m tutatoa tu, yasije kutokea Kama ya Pepe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnataka mumsajili Mudryk kwa dau la thamani Lukonga?
Endeleeni na utulivu wenu hivyohivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taratibu hata £50m tutatoa tu, yasije kutokea Kama ya Pepe[emoji1787][emoji1787]
Taratibu hata £50m tutatoa tu, yasije kutokea Kama ya Pepe[emoji1787][emoji1787]
Kina Ruben Neves, Joao Moutinho, Hwang Hee-chan, Goncalo Guedes, Diego Costa na Adama Traore sasa hivi wanakunywa supu ya pweza wakishushia na Mo energy wanasubiria jioni ifike wajipake vumbi la Congo.Wolves na Brighton ni ndugu
Arsenyeto mkipata hata draw mje mniteke
Costa hat trick [emoji91][emoji91][emoji91]
Kama mna hamu sana na Barcelona njooni mezani tubadilishane kwenye 16 bora ya Europa.[emoji599]Arsenal plan to play Barcelona at the Emirates in a friendly before the season resumes after the World Cup.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama mna hamu sana na Barcelona njooni mezani tubadilishane kwenye 16 bora ya Europa.