Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Anajua msako huyo.Huyu mtu ni shida sana, brain yampira imelala hapo, mbio, skills, kufunga na kutumia miguu yote kwa ufanisi mkubwa ananikumbusha Mtakatifu Carzola.
View attachment 2412670
Arteta alisema juzi Kati , kwasasa Arsenal imefikia hatua ya kusajiri Quality player na wachezaji wa another levelAnajua msako huyo.
Arteta alisema juzi Kati , kwasasa Arsenal imefikia hatua ya kusajiri Quality player na wachezaji wa another levelAnajua msako huyo.
Akili huna wewe jamaa
Nyie endeleeni kubargain bei halafu wanaume wanakuja kupanda dau.Fabrizio Romano aliripoti Novemba 8 kwamba Arsenal walikuwa na majadiliano chanya katika majira ya joto kuhusu Mudryk wa Shakhtar, lakini ilionekana kuwa ghali sana.
Alibainisha kuwa Bei ya winga huyo ni kati ya euro 60-65m ,
machapisho mawili leo yanaripoti kwamba Arsenal wametoa rasmi € 60m.
Juve hana hela, anataka kwa obligation to buyNyie endeleeni kubargain bei halafu wanaume wanakuja kupanda dau.
Hivi kwa mchezaji ambae mnaamini ni quality £60 ni ya kukaa na kuanza kulialia kweli?
Juventus tayari ameshaingilia kati na yupo tayari kutoa hio £65 na kama msipomalizana nae muda huu baada ya fainal za kombe la dunia thamani yake itakuwa ni zaidi ya £80.
Bei yake imechangamka Sana, tunahitaji negotiation kupunguza BeiNyie endeleeni kubargain bei halafu wanaume wanakuja kupanda dau.
Hivi kwa mchezaji ambae mnaamini ni quality £60 ni ya kukaa na kuanza kulialia kweli?
Juventus tayari ameshaingilia kati na yupo tayari kutoa hio £65 na kama msipomalizana nae muda huu baada ya fainal za kombe la dunia thamani yake itakuwa ni zaidi ya £80.
Hizi Mbuzi
"Arteta alisema juzi Kati , kwasasa Arsenal imefikia hatua ya kusajiri Quality player na wachezaji wa another level"Bei yake imechangamka Sana, tunahitaji negotiation kupunguza Bei
| @FabrizioRomano:
“There is a chance for Mudryk to leave in January, but it depends on the price because when I see around €45-50m, no, Shakhtar wants way more than this. They considered Mudryk one of the best talents in the world, especially in his position.”
“This is why they [Shakhtar] want around €65-70m for Mudryk, no less than this. The price will be really high. It’s not for 50 [million] or something like that. So it’s not easy to sign Mudryk.”