computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Coach ndio kaamua ila kiukweli Mistake za Gabriel za hivi karibuni ndio zimemnyima nafasi na Alarm ililia pale last month alivyotemwa kwenye kikosi cha BrazilHiyo sio sababu , kwani Bremer kamzidi Nini Gabriel Magalhaes?
Ni kweli, lakin sio kwamba anazidiwa na Bremer , sema Brazil Wana watu Sana , angeenda angeishia bench na kupata uzoefu,Coach ndio kaamua ila kiukweli Mistake za Gabriel za hivi karibuni ndio zimemnyima nafasi na Alarm ililia pale last month alivyotemwa kwenye kikosi cha Brazilnafasi bado anayo na lazima ataparcipate kwenye world Cup 2026 kwa sasa amekosa nafasi reason kubwa ni hyo
Nyie tunawajua miaka yote hamna maajabu, round ya pili mnakuwaga ndembe dembe!, niko pale nawaangalia.Mtupe kombe letu mapema Viva gunners
COYGNileteeni man shit hata kesho huu ubingwa wa kwetu hatuachi kombe lolote mbele yetu COYG
ESR ana kipaji Sana, nampendea kitu kimoja tu Ni ball carrier , atashambulia box hajui kwenda pemben Kama martinelIla sio Kwa ESR!.. yule dogo ana bonge la kipaji!... Labda kama kiwango kitashuka Kwa sababu ya injuries kama wilshere hapo sawa
Wewe hujui mpiraYaan nyie Arse888 mafuta ya taa sana, mnadanganyana kuhusu ubingwa, wakat hata top4 tu hamtoboi. Nani kawaroga?
Yaani nyie...Yaan nyie Arse888 mafuta ya taa sana, mnadanganyana kuhusu ubingwa, wakat hata top4 tu hamtoboi. Nani kawaroga?
Kwa hi Chelsea sikufichi hata top 6 ukomae SanaYaan nyie Arse888 mafuta ya taa sana, mnadanganyana kuhusu ubingwa, wakat hata top4 tu hamtoboi. Nani kawaroga?
Kiukweli huyo dogo ni potential sana kama unajua au unajicho la mpiraJuve are very interested in signing Nuno Tavares from Arsenal. He is one of their top targets for the left back position (@DiMarzio)