Ili kushinda unahitaji timu yenye utimamu pamoja na bahati.
Vyote vimekuwa upande wetu.
Points 3 muhimu pamoja na clean sheet nyingine.
Tafadhali Man City atupishe kileleni 💪
Mwaka huu kuna Muujiza unakwenda kutimia, tuendelee kuwa wavumilivu.
We are Gunners 💪