Kupiga Chelsea leo analafu ukashangilia
Ni sawa na kupiga bom monchwari alafu tujisifu tumeua
Chelsea 0 vs Arsenal 2
Leo hawa wapuuzi hawatafunguka, tutegemee ushindi mwembamba kama huo
Ila wakijifanya viburi, kufunguka kama wana team nzuri
Au na wao kujifanya kutafuta magoli
Basi watakula mkono
Maamuzi yapo mikononi mwao
Mbili za mkwezi
Au mkono
Haaland kiatu
Arsenal ndoo