Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unateseka ukiwa kjiji gani hapo Malawi?
 
Man City's Riyad Mahrez on who can win the league:

"This season I think Arsenal are very good. All the top six (even Liverpool) can challenge us for the Premier League and all of the other trophies." [MEN]
 
HABARI NJEMA ,HADI SASA KIKOSI KIPO FULL ,ANAYEKOSEKANA NI SMITH ROWE TU


Arteta says Saka is "fine" and is available tomorrow.

He says Elneny is in a very good way after training for a couple of weeks. Zinchenko has just had "one or two" sessions.
 
Arsenal hii inapunguza sana stress

Zinchenko kama pengo lake halikuwepo vile
Na anarudi kuuwasha moto alipoishia

Maji waita mma mwaka huu

Saka kesho atapumzishwa ili jpil awe fit 100%

Chelshe mtaamua wenyewe mpigwe ngapi
 
KUTOKA TELEGRAPH , JANUARY ARSENAL KUSHUSHA WINGER NA KIUNGO


Mikel Arteta would welcome a winger in January to add competition in the forward areas. He has also looked at a central midfielder, but Aston Villa’s Douglas Luiz is no longer available. Palmeiras’ Danilo has also been considered in the central role. [@mcgrathmike] #afc
 
Mkuu ata dunia ifike level gani wajinga hawata isha
Ata tukiamua kuwaangamiza na petrol, hatutaweza kuwamaliza
 
ARTETA AMEJIBU KUHUSU UVUMI WA BARCA KUMTAKA


Arteta brushes off the latest Barcelona links.

Says he is "proud and happy" at Arsenal and then praises "phenomenal" Xavi.
 
Martinelli on his contract extension with Arsenal -

"I just need a pen"

Via @sr_collings View attachment 2405273
Hili dogo ndio maana nàlikubali sana

Na jinsi vilabu vya ulaya vilivyomkata, alafu arsenal wakaona kipaji kwenye miguu yake. Amazing sana
Kama martinel ataondoka basi kwenye miaka 30+. Sio leo wala kesho
 
Hili dogo ndio maana nàlikubali sana

Na jinsi vilabu vya ulaya vilivyomkata, alafu arsenal wakaona kipaji kwenye miguu yake. Amazing sana
Kama martinel ataondoka basi kwenye miaka 30+. Sio leo wala kesho
Kwa Historia yake aliyopitia ,kukataliwa na man u,Barcelona , kule Italy,akaamua kurudi Brazil , Edu akamwambia tangulia Arsenal nakuja January , Amefika arsenal akathaminiwa

Alishasema yupo Sana Arsenal


Sawa na Smith Rowe Mtoto wa nyumbani alishasema muda wowote Leta mkataba anasaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…