Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Emily Smith Rowe


Nimemisi Kazi ya Smith Rowe , atachukua mpira atakukimbiza kuingia kwenye box ,

An example of a ball carrier


Kuna Saka , Martinell na Odegaard, Lakini Smith Rowe ndiye mchezaji namkubali Sana


Arteta kambadilisha Sana, Mchawi majeruhi tu


a no.10 ambaye atatokea pemben kuingia ndan ,INVERTED NO.10


 
MJINGA SANA WE JAMAA, UNATAJA VITOTO VYA FORM FOUR 'B' KULINGANISHA NA MIAMBA. MPIRA PESA MDOGO WANGU, SUBIRI KIDOGO NDIO UTAJUA MAANA YA KUSAJILI WACHEZAJI WAKUBWA NI NINI. UNANILETEA VITOTO HATA KUBEBA VIATU KWENYE TIMU ZAO ZA TAIFA HAWARUHUSIWI..
 
Kumbe najadili na mgonjwa

Siku Hizi umegoma kuleta msimamo
 
Leta msimamo mbwa wewe


 
There is a possibility for Facundo Torres to move to Arsenal, but it will not be in the next transfer market (January), but next summer.

Next week, the player's representative, Edgardo La Salvia, will meet Arsenal. At the moment, nothing is ahead.

@RodriVazquez95 via @iemadAFC https://t.co/psQXTjlwrc
 
Real Madrid will make an offer for Gabriel Jesus next summer. 🤍

(Source: @SunSport)
 
Mimi namkubali sana ESR, kile ni kipaji Bora kabisa!.. Nina Imani kubwa sana na yule dogo... Yani napenda sana style yake ya uchezaji. Yule anauwezo mkubwa sana wa kufunga...
 
Mkuu una hasira nae. Mechi yake ya kwanza EPL alikuchapa..
Mashabiki wa timu zote Epl wanamkubali na kumsifia kwelikweli Anthony kasoro mashabiki wa Arsenyani peke yao.
Ukichunguza chuki ya mashabiki wa Arse
kwa Anthony sababu kuu jamaa ndio alikua mwanaume wa kwanza kuwatoa usichana wao kwenye lile gheto lenye vitofali vya kuchoma.
 
Nyie mashabik wa unyumbuni mnafurahisha sana
 
UTABILI

Arsenal ataongoza ligi mpaka December, kuanzia January itashuka mpaka nafasi ya pili.

Hapo nafasi ya pili atadumu sana, lakini game tatu na mwisho zitahakikisha Arsenal anashuka mpaka nafasi ya 4, hiyo ndio itakua nafasi yake mpaka ligi inaisha.

Mimi sio mganga wa kienyeji bali ni mtabili mzuri tu, na tabili zangu nyingi zimewahi fanikiwa.

Kazi onayo wewe kibwengo na mapengo yako hayo ukiamini Arsenal atachukua ubingwa, imekula kwako.
 
Umeamua Sasa uwe mpiga ramli au Sio

Kweli uchawi Sio lazima uwe na tunguli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…