Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sina imani na Nketiah, Lokonga na Vieira. Vieira awapo uwanjani Arsenal inakuwa na wachezaji 10 pekee.

Arteta ni manager na coach kazi ya kocha ni pamoja na kurekebisha wachezaji. Martinelli anatakiwa kuambiwa mpira wa miguu ni team sport not individual sport kama tennis.
 
SIMON COLLINGS MWANDISHI ANAYE COVER HABARI ZA ARSENAL EVENING STANDARD AMETHIBITISHA MAZUNGUMZO YA ARSENAL NA WINGA FECUNDO TORRES


Arsenal are considering a January move for Orlando City forward Facundo Torres.

The Gunners are due to hold talks with the Uruguay international’s agent as they target a right winger to provide competition for Bukayo Saka.

(@sr_collings)

Arsenal eye Torres deal in January with talks held over Saka rival https://t.co/Gk2IqamakD
 
TONI LIMA huyu ni skauti wa Arsenal kwa upande wa South America


Uhamisho wa Arsenal kwa Facundo Torres bado uko katika hatua ya awali

Nia ya Arsenal kwa Torres inaaminika kutokana na matokeo ya skauti Toni Lima. Lima, ambaye alitajwa kuwa mmoja wa wa kwanza kuwaona Neymar na Philippe Coutinho.

Arsenal ikiongozwa na Toni lima Skauti anayefanya kazi na kulipwa kufatilia vipaji South America ,kwa muda mrefu alikuwa anamfatilia moja ya kipaji hiki FECUNDO TORRES, na Kama mazungumzo yataenda vizuri Basi atatua Arsenal January

Ni left footer , anacheza Winga ya kulia

Wanaokumbuka vzr alitufunga na. .. preseason Kule marekani na alionesha uwezo mzuri

 
Nawashauri tu Chelsea msije mkatumia mkajikamuua kutuzuia halafu mkaendelea kupigwa 4 o'clock na akina brighton
 
Arsenal are cautiously optimistic that Bukayo Saka did not suffer a serious injury against Nottingham Forest & could even be available to face Chelsea on Sunday. [@deathirwin, The Sun] #afc


Arsenal’s medical team are encouraged by the fact that Saka was able to play on for 15 minutes after the initial collision before coming off as a precaution & the fact he was able to leave the stadium without the need of crutches or a protective boot. [@deathirwin, The Sun] #afc
 
Official: Michael Oliver has been appointed referee for Arsenal’s away match against Chelsea on Sunday, with Jarred Gillett on VAR. #afc
 
Viera, lokonga naimani wanaweza kubadilika, nketiah sijui kwa kweli, wacha muda utuambie.

Martinelli kuna muda anakera, anataka kucheza kama gombania goli vile.
 
Facundo Torres wa Orlando City anakaribia kuhamia Arsenal.

Winga huyo wa Uruguay mwenye umri wa miaka 22 alikuwa na mabao 9 akiwa na asisti 8 katika msimu wake wa kwanza MLS ,

Mazungumzo yatasonga mbele wiki hii.View attachment 2402846
Kama ni mzuri biashara iimalizwe mapema, watu huwa wanaissubiri arsenal ipointi tu.
 
K
Kapiga kibunda mwaisa.

Ila huwezi amini baada ya arsenal kushinda 5 mtu nikamwambia simba nae atamkaanga mtu 5 akahisi masihara, imekuja kutoka anashangaa..

Hivi Karibuni matokeo yetu yanafanana fanana. Tukicheza siku moja aidha tufanane hadi magoli au matokeo tu.
 
Kama ni mzuri biashara iimalizwe mapema, watu huwa wanaissubiri arsenal ipointi tu.
Kuna huyu Mudrky ,Arsenal walimskauti mapema Sana , baadae waka delay ,maana Shaktar walitaka €50m, dogo UEFA kakiwasha ,kashaanza kutolewa macho na kina mancity , na Bei imechangamka,

Wanasema Kama Anthony wa man u kauzwa €100m Basi huyu Ni Zaidi

Carlo Nicolini (Shakhtar Donetsk sporting director):

“Together with Mbappe, Leao & Vinicius, Mudryk is the strongest player in that position. Is €40m enough to buy him? We do not speak to these figures. Not even for €50m. We value Mudryk more than Antony, who cost €100m.” #afc


“The Italians bring low proposals, we don’t even sit to negotiate. There are many English candidates, Spanish, French. They [Arsenal & Manchester City] are two teams that have taken an interest in the player.” #afc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…