@computerarsenal hakika wewe ni zaidi ya shabiki wa Arsenal, wewe ni mpenzi wa mpira, ushabiki hua na upofu wa kutokuona upungufu/ubovu wa timu unayoishabikia, ila unapokua ni mpenzi wa soccer macho yako hayawezi kupofuka, nyeusi inakua nyeusi na nyeupe inabaki kua nyeupe.[emoji3][emoji3][emoji3] hamis77 unanifurahishaga sana na uchambuzi wako but for my opinion it's too early kuongea haya kwanza huwezi kufananisha kikosi cha Arsenal na Manchester City abadani tunapenda football na tunaipenda Arsenal yetu kikosi cha City kila sehemu almost ina replacement sisi tuna squad ya first eleven pekee ni wachache sana kwenye benchi ambao wana quality ya kutosha kama Tierney but wengine waliobakia wana homa ya vipindi (Nketiah Holding Lokonga )but tuendelee kuenjoy football kwa sasa
Shida kubwa mashabiki wengi wa hili jukwaa ni madereva wa bodaboda, hivyo suala la matusi humo ndani ni ngumu kuepukika.Why jukwaa letu linavamiwa Sana na wahuni ? Moderator mpo tu ,Jukwaa linachafuliwa kwa matusi
Takwimu hazidanganyi.Vijana Wana Sonoma na matatizo ya akili yamekuwa makubwa Sana
Hivi unaanzaje kutoa matusi mitamdaoni, lazima Kuna shida mahali ,so nikumuacha
Wewe jamaa akili yako sijawahi kuielewa[emoji3][emoji3][emoji3] hamis77 unanifurahishaga sana na uchambuzi wako but for my opinion it's too early kuongea haya kwanza huwezi kufananisha kikosi cha Arsenal na Manchester City abadani tunapenda football na tunaipenda Arsenal yetu kikosi cha City kila sehemu almost ina replacement sisi tuna squad ya first eleven pekee ni wachache sana kwenye benchi ambao wana quality ya kutosha kama Tierney but wengine waliobakia wana homa ya vipindi (Nketiah Holding Lokonga )but tuendelee kuenjoy football kwa sasa
Hivi Anthony ana kipi ambacho anamzidi Pepe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwema lakini broo?
Binafsi hua nafurahi sana kusoma michango yako humu jukwaani.
Pia kuna mambo mengi sana nilikua siyajui ila nimejifunza kupitia michango yako, ndio maana nisipokuona humu hua nahisi kabisa kuna kitu kime miss kwenye hili jukwaa na lazima nikuulizie.
Ila yote ya yote broo jitahidi mapema sana uonane na psychiatrist, maana kumfananisha Pepe wenu na Antony tena kwa sura kavu kabisa umeanza kunitia wasiwasi(just a joke [emoji1])
Arsenal hayupo mbali sana ,kakaribia Sana kufikia level ya Mancitykwa squad ya arsenal ilivo kwa sasa XI inajulikana vizuri wala huitaji kujifkiria mara mbili ila tunapokuja kwa case ya squad kama ya bayern ama man city lazima utagawa opinions na hapo ndio palipo na utofauti mkubwa baina ya vilabu ivyo viwili na vingine duniani..
Ukweli Arsenal haipo mbali kufikia level ya city , Arsenal tunahitaji madirisha mawili TUkwa squad ya arsenal ilivo kwa sasa XI inajulikana vizuri wala huitaji kujifkiria mara mbili ila tunapokuja kwa case ya squad kama ya bayern ama man city lazima utagawa opinions na hapo ndio palipo na utofauti mkubwa baina ya vilabu ivyo viwili na vingine duniani..
baada ya round ya 2 msimu uliopita mech ya arsenal vs city na Arsenal vs Liverpool ,mwenye akili timamu angeelewa Arsenal haipo mbali kwenye hizo level ,Arsenal hayupo mbali sana ,kakaribia Sana kufikia level ya Mancity
Arsenal tunahitaji wachezaji wasiopungua Watatu tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mlianza kwa Martinez tukawakaushia, sasa hivi hasira zenu mmeamua kuzihamishia kwa Antony baada ya kuwaadhibu kwa goli lake murua kabisa pale kwenye vitofali vya kuchoma.Hivi Anthony ana kipi ambacho anamzidi Pepe?
Yule Pepe hapo man u anaanza kikos chenu panga pangua
Anthony huyu ambaye hawez 1v1 ,
Scholes kila siku anawaambia hakuna mchezaji pale ,
Martinez Kwan tulimponda? Yule alikuwa aje Arsenal Kama LB[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mlianza kwa Martinez tukawakaushia, sasa hivi hasira zenu mmeamua kuzihamishia kwa Antony baada ya kuwaadhibu kwa goli lake murua kabisa pale kwenye vitofali vya kuchoma.
Jana tulicheza bila Anthony uliona namna winga ya kulia ilivyopwaya?
Kiongozi jitahidi uwe unaandika kwa kiufupi maelezo mengi na yanajirudiarudiaWewe jamaa akili yako sijawahi kuielewa
Hivi nimefananisha hapo? Kwann hujajibu hoja Basi ,City ana squad ya wachezaji wangapi Kama unajua?
Nimeweka statement kabisa, Arsenal anakaribia kuwa na Quality kubwa ,nikaonesha Sehemu zenye Quality na sehemu zenye mapungufu
Lakini Cha ajabu wewe umekuja Direct unadai nimefananisha Arsenal na city squad ,Kwanini kichwa chako huwa kigumu
Nimeeleeza kabisa hapo Arsenal ana squad ya wachezaji 24-25 sawa na city , nikaanza kuelezea Kwanini Hao city mnaosema Wana quality had bench , nikaeleza asilimia 90 ya wachezaji wa city wanacheza Zaidi ya nafasi 3 ,hivo kwa mbumbumbu wa soka atadhan City ana kikos Cha wachezaji 30 Kama man u
Nikaeleza Arsenal tunaelekea huko ,nikionesha maeneo gani yana upungufu
Maana Arteta inajulikana anatumia Sana ideas za Pep ,
Project ya Arteta baada ya madirisha mawili itakuwa imekamilika kila Eneo kuwa na Quality player like cityzen
Cha ajabu wewe umekimbilia kunishutumu ,oho nimefananisha Arsenal squad na city ,
Mipango ya Arsenal ilikuwa aletwe Raphina ,alipokosekana hawakutaka Tena kurudi Sokon had wapate mtu sahihi
Nikauliza swali Pepe ana ubaya gan wakuwa backup?Pepe ana tofaut gan na Anthony wa Man u pale, Lkn why wamemtimua Pepe wakaona Bora wabaki na saka Martinell Jesus ambao wanaweza kucheza hizo nafasi vzr ,huku wakisubiri dirisha lingine waongeze winger anayecheza nafasi 2-3.
Wewe unawaona wabovu lokonga na nketiah ,lkn hufahamu Lokonga Ni 3rd choice , Nketiah as backup Hana ubovu huo ,na hapo Arsenal haijaongeza winger ambaye atakuwa na sifa za kuchafua Nafas zote 3
Hope atakuwa fit dhidi ya Chelsea jumapili ijayoMikel Arteta was hopeful after the game that Bukayo Saka’s injury was not serious. It should become clearer in the next couple of days.
“It was a bad kick, but I don’t see it as anything further than that.”
[emoji837][emoji837] charles watts.View attachment 2402896