Halafu mm nimemshangaa Sana, Mimi...nime comment Tena baada ya Nelson kufunga goli ,yeye anadhan nimempondaAu kisa ivyo vigolo viwili vya kutap ..punguza jazba
Watu mna records.....noma sana....Arsenalβs home record across all competitions this season:
WWWWWWWW
β Goals scored: 23
β Goals conceded: 7
β Clean sheets: 3
The Emirates is a fortress.
Hajielewi huyo anafikiria sisi tunababaika na mchezaji wa kufunga mechi mojaHalafu mm nimemshangaa Sana, Mimi...nime comment Tena baada ya Nelson kufunga goli ,yeye anadhan nimemponda
Mimi nikasumba moja ,sipondag wachezaji wetu, nitatoa analysis tu
Nelson anahitaji muda aelewe jinsi ya kucheza kwenye touchline
Nelson amekuwa muhanga wa majeruhi na kutolewa mikopo, ila Nelson ana kipaji kikubwa tu,
You commented before Nelson scored, though the way Arsenal anacheza unaijua vizuri sana... Nelson hawezi kuwa Saka, so usitegemee atakupa Saka performance.. Ila ana vitu vyake vyakutupa pale atakapoitajikaHalafu mm nimemshangaa Sana, Mimi...nime comment Tena baada ya Nelson kufunga goli ,yeye anadhan nimemponda
Mimi nikasumba moja ,sipondag wachezaji wetu, nitatoa analysis tu
Nelson anahitaji muda aelewe jinsi ya kucheza kwenye touchline
Nelson amekuwa muhanga wa majeruhi na kutolewa mikopo, ila Nelson ana kipaji kikubwa tu,
Sawa naona kijana ana panic sanaπππOi achana kubishana na Hawa watu, ukiona mtu anaporomosha matusi achana nae usimjibu, watu Wana stress za maisha, wanatafuta pakumzikia
Tusi gan umri huu hatujatukanwa? Watu Wana matatizo ya afya ya akili, plus stress za maisha
Vijana Wana Sonoma na matatizo ya akili yamekuwa makubwa SanaSawa naona kijana ana panic sana
πππanamaliza hasira zakeVijana Wana Sonoma na matatizo ya akili yamekuwa makubwa Sana
Hivi unaanzaje kutoa matusi mitamdaoni, lazima Kuna shida mahali ,so nikumuacha