Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado tuko kileleni epl na Europa.

Failure unayoizungumzia ni ipi au kuna timu isiyofungwa?

Nambie kuna timu gani hapo Epl haijafungwa msimu huu?
Tukubali kwamba kocha anaanz kufeli kweny uchaguz wa wachezaj yupi aanze Europa ,yupi awe bench for Epl ,jamaa ana risasi nyingi sana tatzo linakuja jinsi ya kuzitumia izo risasi
 
Ukweli lazima usemwe arsenal amna uwezo wa kuchalange hata ubingwa labda top 4.

Timu nyingi zinazo fanya vizuri ukiangalia zinakuwa na sub imara sana yani kinatoka chuma kinaingia chuma mfano ni man city.

Sasa arsenal kikosi chenu hakina sub wenye kuweza badilisha matokeo yakiwa mabaya yani kikosi chenu cha kwanza mkipata hata majeruhi wa 3 tu mnakuwa na hali mbaya sana.

Kiukweli arsenal bado sio muda mtaanza kumtukana arteta kama Kawaida yenu hapa.

Hebu kwa mfano pale arsenal itoke wachezaji kama jesus,partey,xhaka,saka,saliba sioni kama kuna wakuziba pengo lao hapo.

Kiufupi mnakikosi kidogo sana,wenye mmeanza kuona kikosi mechi 3 za mwisho kilivyoanza kuchoka.

Labda tusi wa judge sana tuone mzunguko wa kwanza unaisha mkiwa kwenye hali gani.
 
Wazee wa mbio za sakafuni hawa.
Kwanza hata hio top 4 msimu huu wanaweza wasinuse, mzunguko wa pili tu ukianza ndio watathibisha wenyewe kua ni choka mbaya na mitusi kama yote kwa Mateka(Arteta)
 
Chunga wasikutukane maana kaukweli kanauma hakoo hehehehe
 
Chelsea 1 Brighton 4


Uwe na adabu tu
Mnawapa vichwa Hawa kenge, Arsenal kufungwa Europa Tena anaongoza kund imekuwa mada humu ,na kuingia mkenge kuponda timu , kuna muda tukubali matokeo ,na timu itasonga mbele,Kuna tatizo la utumiaji nafasi limetukumba

Hata city anashinda 1-0,0-0 ,

Hao Chelsea na man u wanaokuja kupiga kelele humu, Wana timu gan ya maana msimu huu ya kushinda na Arsenal ?

Tayari Elneny karudi full training,

January hiyo hapo Arteta anaingia sokon

Europa tunamaliza wakwanza ,Ligi had January hatutoki nafasi ya 1-2

Kwann mnaingia mkenge wakubeza timu kisa Hawa Chelsea na nyumbu

Wana timu gan za maana ?hatupo pale juu kwa bahat mbaya ,Wala fluke ,
 
Respect mike ARTETA

leads kachukua points 3 kwa Liverpool
Ambae huyo leads na Liverpool wote wamekula fimbo za kutosha

Unaambiwa pale juu hatupo kwa bahati mbaya
Uchovu tu wa kusafiri safiri Europa umetuzingua kiasi ,now umeisha next week tunamalizia Emirates na Zurich ,

Vibe la Emirates linarudi Tena ,

Hata city Ni vile timu nyingi ovyo ,ila city ya miaka miwili Sio hii ya msimu huu,

City hii msimu huu Kuna game inazidiwa kumiliki mpira , city huyu huyu alizidiwa possession na man u 2nd half,.hata na Brighton.

Kesho ndan ya Emirates na iman point 3 swafi kabisa

Had round ya 1 inaisha Liverpool atakuwa ameachwa point 20+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…