Aaaah kaka unataka kulikimbia pira biriani hahahaahsBetter I change channels and tune to NBC premier League, this is rubbish I see. Title contender with a likes of Nketiah and vieira? I start to worry
Aaaah kaka unataka kulikimbia pira biriani hahahaahs
Jamaa mwepesi anajituma sana ndio maana anachoka wakati mwingine moto unakata.Tomiyasu ameigharimu timu, ni mzigo from artetaβs try and error. Not good in that position
Back to default slowlyNlipotoa hoja juzi Raia mlinipinga vita,Aseno anaanz kudrop system
Huu ndio mpira mkuu, Tomi is a versatile player ila leo hakuwa vizuri sana. Muhimu hatujapoteza.Better I change channels and tune to NBC premier League, this is rubbish I see. Title contender with the likes of Nketiah and vieira? I start to worry. Mtanipinga lakini ukweli ndio huo.
Auba kasema Arteta hawezi kumanage Big CharactersArteta anaanz kufeli mdogo mdogo ,nliona tangu alivoanz kushinda goli moja kila mechi,nkapropos kuna important player bench pale izi game za Europ wanatoboa wamekaza fuvuπ π π
π π π For sureAuba kasema Arteta hawezi kumanage Big Characters
Anafaa kuwa kocha wa academy, ni mzuri kwa academy ngoja tutaanzisha movement ili tumsajili kwenye academy yetu ya Chelsea inapwaya sasa hivi