Fluidity
Dynamic flow ya uchezaji tukitoka nyuma kwenda mbele
Uanzaji wetu wa one two, one two hadi mashambulizi
Na hapa ndio kuna kitu kinaitwa burudani.
Yani ulevi wa mpira upo hapa
Na ndio sababu wengi kujikuta kunakua washika mitutu
Arsenal akishika mpira akiwa anakuja kwa timu pinzani ni more than SEX
Unaona kabisa hii ni sayansi, mpira unapitishwa kwenye njia zake
Chumba baada ya chumba, kama draft vile
Kuna watu wakishika mpira unajua anaweza kupeleka mbele au kurudisha nyuma
Lakini odegard, martinel, Jesus, Partey, xhaka, odegard hawa watu wakishika 90% huwa ni penetration passes, integrated take one, shooting
Hivi vitu huwezi kuviona kwa Liverpool, Chelsea na nyumbu kwa sasa
Ndio maana sisi tunapigwa na ubaridi wao wanavuta pumzika ya moto huko mabondekuinuka
Arsenal ndoo
Haaland kiatu