makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,003
- 104,527
Mchezaji kufanya ama kutokufanya vema kunachangiwa na vingi.Hao waliomtaka Bissouma Ni wale wasiolewa Arteta timu yake inachezaje ,
Kuhusu xhaka wanaomjua Wala hajabadilika , kamsikilize Arsene Wenger alichowahi kusema Kuhusu xhaka alisema xhaka Ni more advanced CM au box to box,
Alipokuja emery ndiye akawa anamtumia out of position ,hata Wenger kutokana na majeruhi ya Santi cazorla ,n.k alimtumia Kama DM, hapo xhaka alipoteana
Ila xhaka Kama advanced no.8 alikuwa anaongoza had kwa kupiga pass epl ,
Mimi huwa nashangaa Sana nikisia eti xhaka kabadilika ,
Xhaka alikuwa anachezeshwa DM ,nafasi asiyoimudu
Style play ya Arteta inataka DM anayejua kupiga pass na ku control mchezo ,pia uwe press resistant
Kwa sifa Hizi wavunja kuni Kama Bissouma, ndidi, casemiro , Viungo wa namna hii huwez kuwaona hata kwa Pep Guardiola,
Partey mwenyewe alikuwa na sifa hizo ,ilibidi abadilishwe Kwanza ,anasema mwenyewe Partey .
Xhaka kabadilishwa akafeli, vipi wale waliobadilishwa na wakawa bora?
Casemiro kutokuonekana kwa pep ndio sio moja ya viungo wakabaji bora!??
Sasa kama partey aliweza kubadilishwa vipi kwa wengine!?