Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Mashabik wa bongo wanapenda Kumkosoa mchezaji pale timu ikikosa matokeo, dhidi ya Leeds huyu katuokoa Sana ,but hapewi heshima yakeLet's not pretend kwamba kukosoa mchezaji ni kwamba unamchukia, that's low IQ reasoning
Mfano mimi Will Jr mchezaji ninayempenda kuliko wote Arsenal ni Thomas Partey, lakini namkosoa sababu napenda kuona anaishi kwenye uwezo wake na kipaji mungu alichombariki wala si kwamba ninamchukia, tunapokosoa wachezaji wetu pale wanapokosea lengo ni kuona wana improve cuz wakiwa bora na Arsenal yetu inakuwa bora pia, kukosoa mchezaji anapofanya vibaya si kwamba anachukiwa. The goal is to see improvement, Ex; Huwezi kukuta sahivi naandika Thomas partey this, Thomas partey that cuz i see improvement, game control unaiona na ndio kitu nilikuwa nataka toka mwanzo.
Binafsi Will Jr napenda kukosoa mchezaji pale timu inapofanya vizuri, unapokosoa mchezaji wakati timu inafanya vibaya ni kuua uwezo wake wa kujiamini completely.
Mushajijua arse8 mutakuwa amupo🤣🤣🤣🤣Mashabik wanaongea bila kufatilia huo utaratibu
New Champions League format proposed that could help Arsenal qualify
UEFA are planning a Champions League format restructure, proposing a version of the competition with extra places for high coefficient rankings.dailycannon.com
Unajua mmeng'ang'aniwa huko. We endelea kupiga kelele hukuMushajijua arse8 mutakuwa amupo🤣🤣🤣🤣
Pochettino ni kocha wa timu gani pale EPL??hi division ya EPL ;naiona kwa awa managers kwnye race ya top 4 msimu wwte ule itanoga sna..
pep
arteta
pochettino
ETH
Sikuwahi kumtamani bissouma ila usiwashangae waliokuwa wanamlilia huenda kuna jambo waliona, hivyo ndivyo mpira ulivyo, kabla ya arteta xhaka alikuwa hapendeki, kaja arteta mambo mukide.. Mchezaji kuonesha au kushindwa kuonesha kunachangiwa na vingiHuyu ndiye Bissouma watu humu walikuwa wanamlilia?
Bissouma Ni mvunja kuniSikuwahi kumtamani bissouma ila usiwashangae waliokuwa wanamlilia huenda kuna jambo waliona, hivyo ndivyo mpira ulivyo, kabla ya arteta xhaka alikuwa hapendeki, kaja arteta mambo mukide.. Mchezaji kuonesha au kushindwa kuonesha kunachangiwa na vingi
Hao waliomtaka Bissouma Ni wale wasiolewa Arteta timu yake inachezaje ,Sikuwahi kumtamani bissouma ila usiwashangae waliokuwa wanamlilia huenda kuna jambo waliona, hivyo ndivyo mpira ulivyo, kabla ya arteta xhaka alikuwa hapendeki, kaja arteta mambo mukide.. Mchezaji kuonesha au kushindwa kuonesha kunachangiwa na vingi
Olise Kama huna £80m nakuendelea humpati , umesikia hata Kuna anayemuulizia ?Arteta niletee watu hawa January:
- Max Kilman: Replacement ya Gabriel (LCB)
- Michael Olise: Replacement ya Saka (RW)
Ni jicho lako, mwingine kumuona tofauti si dhambi huwezi kuwaita kuwa hawajui mpira. Mchezaji kufanya ama kutokufanya vema kunachangiwa na vingi.Bissouma Ni mvunja kuni