Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi 10, Nyumbani 5 na Ugenini 5,

Nyumbani hatuna Cleensheet na tumeruhusu magoli 10 ya kufungwa katika mechi zote 5 japokuwa tumeshinda mechi zote na kufunga mabao 14 wastan tuna mabao 4 ya faida, ugenini katika mechi 5 tumeruhusu mabao 3 tu vs Man u na tumeshinda mechi 4 na kufungwa hiyo 1 na tumeweza funga mabao 10 tuna faida ya mabao 7,

inabidi tukaze Emirates kupunguza idadi inaonekana Emirates tunashambulia mnoo na kuzuia tukiwa nyumbani sio kipaumbele chetu😀😀
 
Arsenal bado wanamtaka locatell

Locatelli’s expectations has fallen short, Arsenal remain in his sights. Chiesa and Vlahovic (considered non-transferable) have interest from top clubs. It is a Juve that will plan a new cycle, that’s why they could evaluate any opportunity.

(@GiovaAlbanese / @Gazzetta_it)
 
Kumbe huyu dogo tuliwahi husishwa nae , anakiwasha sana hapo Napoli ,

Tunavyotukanaga wachezaji, angekula matusi, nakumbuka usajiri was martinel maneno yalikuwa mengi
 
Tulivyompiga Cheltako 4-0 watu wakasema ni "pre-season, hizo mechi za kirafiki tu."

Ligi ilivyoanza tukapanda kileleni wakasema "oooh ni mechi tatu tu hizo ligi ina mechi 38."

Wakaja na hii "oooh mnazifunga timu dhaifu ngoja mkutane na wababe mtashuka"

Baada ya Manyumbu kutufunga wakasema "oooh mmekutana na timu ngumu moja tu na mmefungwa"

Sasa baada ya leeds wanasema oooh makocha wameshamjua Arteta, sasa wengine wanasema ngoja Jesus aumie, wengine wanasema baada ya World cup mtashuka tu


Say way down we gooo...
 
Wataongea sana matakataka hawa. Sisi tushinde mechi zetu tu.
 
✍️| @FabrizioRomano on positions #Arsenal could strengthen in Jan:

“They will be ready in case there will be good opportunities; midfielder & winger were two possibilities considered in the summer and still in the potential plans, but it depends on the players.” [@caughtoffside]
 
Sasa ni suala la 'ni lini', si 'ikiwa', Bukayo Saka anasaini mkataba mpya wa muda mrefu Arsenal.

(Chanzo: @TheAthleticUK)
 
Tumeponea chupuchupu wikiendi kwa Leeds hivyo kuahirishwa kwa mechi ya man city naona kama ni blessing in disguise. Tungekuwa na wakati mgumu sana kwa city iliyotoka kupoteza.

Tujipange kwa hizi game za kawaida zilizopo mbele yetu mpaka tutakapokutana na Chelsea kama game kubwa ya mwisho before world cup.
 

Haters wa gabby wamekuwa wengi club inapambana kuwapunguza
Let's not pretend kwamba kukosoa mchezaji ni kwamba unamchukia, that's low IQ reasoning

Mfano mimi Will Jr mchezaji ninayempenda kuliko wote Arsenal ni Thomas Partey, lakini namkosoa sababu napenda kuona anaishi kwenye uwezo wake na kipaji mungu alichombariki wala si kwamba ninamchukia, tunapokosoa wachezaji wetu pale wanapokosea lengo ni kuona wana improve cuz wakiwa bora na Arsenal yetu inakuwa bora pia, kukosoa mchezaji anapofanya vibaya si kwamba anachukiwa. The goal is to see improvement, Ex; Huwezi kukuta sahivi naandika Thomas partey this, Thomas partey that cuz i see improvement, game control unaiona na ndio kitu nilikuwa nataka toka mwanzo.

Binafsi Will Jr napenda kukosoa mchezaji pale timu inapofanya vizuri, unapokosoa mchezaji wakati timu inafanya vibaya ni kuua uwezo wake wa kujiamini completely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…