Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni kweli mkuu
Arteta azidi kuijenga timu, tuna mapungufu mengi sana
Kila game itakuwa na mapungufu yake kufuatana na game plan ya Mwalimu na aina ya mpinzani mtakayekutana nae, na timu zitavypcheza. Arsenal haina kikosi kibaya kiaisi cha kusema kuna mapungufu mengi sana.
 
Page ya arsenal inaona Chuki ya baadhi ya mashabiki kwa Gabriel; wameamua kumwinua. Online wanamshambulia Gabby for doing his job. Mistake ni sehemu ya kujifunza na sio point ya kumu attack mchezaji.

Gabriel's game by numbers vs. Leeds:

100% aerial duels won
90% pass accuracy
80 touches
9 duels contested
8 duels won
4 clearances
4 blocks
3 tackles
3 interceptions
1 shot

And zero red cards. 😅 https://t.co/CmgVBqAglj
 
DEEP IN MY BRAIN
.
.
.

hatua za kufukuzia ubingwa inafika nyakati unakua unashinda ushindi mwembamba wa goli mojamoja kwenye mfululizo wa mechi

👆na zinafika nyakati za sare pia

safari ya kufukuzia kombe ni ngumu mno na kinachoendelea kwamba sura ya arsenal imejivika umwamba na tayari wanakaza kamba za viatu kuikomalia race hiyo

mechi ya leo inakupa picha maana ilifika mda arsenal walizidiwa mno ni kama vile kwaye hali ya kusubiri kufungwa lakini waliona ukomavu ambao sijapata kuuona kwa mda mrefu

leeds ni timu yenye quality za kutosha ndani ya mbinu zao nadhani ni kitu kizuri kwa shabiki wa mpira kuheshimu mpira unavyochezwa na mpinzani wako bila ya kukariri jina kua ni timu ndogo

waliweza kupambana vyema na arsenal ambayo kwa sasa sio rahisi kuruhusu kushambuliwa mda mrefu hata kama inaongoza goli utawaona bado wana dominant game yote

👆lakini kwa leeds imekua tofauti sana na huu ni ujumbe kwetu kuendelea kujiboresha zaidi na zaidi
 
Kwa arsenal
hii tunamtaka man shit hata kesho huu ubingwa wa kwetu hatuachi kombe lolote mbele yetu COYG
 
Jana Gab kapiga kazi Sana, sijaona akipongezwa humu

Wachezaji Kama Ramsdale , Magalhaes Jana wamejitoa Sana ,Ila watu wanangojea wakosee wawafungukie

Jana Magalhaes kapiga kazi haswa

Xhaka tunamuhitaji Sana kapambana Sana Jana kwenye Hilo tukio ,

Penalty ya Leeds pia Ni upuuz wa linesman

Leeds walikuwa offside kabla ya hiyo penalty,

Nakubaliana na wewe ,Jana linesman alikuwa hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…