Calm down brother, ni siku mbaya tu kazini. Tutegemee siku ka hizi. City na squad + expirience bado huwa anakutana na gemu kama hizi. The positive is we walked away with 3 points. Lets forget today and move onMechi ya Bodo ilitakiwa ituashirie kwamba tunapotea, ya leo imeconfirm kwamba tunapotea.
Ni aibu kiukweli.
Yaani Leeds kaongeza shots, possession na potential dangerous move simply kisa ananyang'anya mpira kutuzidi na anafanya purposive movements kutuzidi? Na yuko 15th sisi ni wa kwanza?
Arteta atafute dawa kabla hatujaharibu zaidi ya performance ya leo na iliyopita.
Upuuzi.
Yule sio beki wa kutegemea kabisa, ana matatizo yote kama unavyosema kiufundi na kiakiliWatu watabisha tu, ila GABBY ni pimbi, ukiachana na makosa ya kiufundi, ila bado ana matatizo ya kiakili mchezoni wamtibu haraka hili, alichofanya ni ujinga almanusura aigharimu timu.
Moja ya sababu kubwa iliyofanya tupoteze game ya Man u ni kushindwa kucontrol space wakati wa kudefend quick transitions, kwenye transitions tunakuwa exposed sana akikosekana Partey.ni bora hivi anavyocheza arteta,maana hizi positional based team zikikuana na high pressing team yenye quick transition ni mateso kwendambele
Kwahiyo Arteta hajui anachokitaka? Halafu huwa unalaumu wachambuzi uchwara wakiichambua Arsenal?Ifike stage Arteta ajue anatak nn aisee,Europa aweke vijana wengine rotation dah
Hivi Ni lazima kukoment?Ifike stage Arteta ajue anatak nn aisee,Europa aweke vijana wengine rotation dah
Ni kwa maoni yako mkuu,game ya Bodo Vieira angefit na sio OdergaadKwahiyo Arteta hajui anachokitaka? Halafu huwa unalaumu wachambuzi uchwara wakiichambua Arsenal?
Gabriel haikua na haja ya kumuanzisha mechi ya Bodo wew kaza fuvuHivi Ni lazima kukoment?
Unajua umuhimu wa hizi mech 2 za Europa ?
Arsenal akiongoza kund ana escape 2 games ,anaruka moja kwa moja round 16 ,akiwa wa pili anacheza round 32 mech tafu na waliotoka UCL
Arteta Anajua kuliko wewe
Baada ya Leeds kuipa kichapo heavy chelmatako na jinsi wanavyocheza kwa kupress, kiukweli Mimi nilijua tunaweza shikiliwa Leo!...Baada ya kipenga Cha mwisho kupulizwa nimeshangilia mpaka watu wamenishangaa... Wale Leeds hawafai, timu nyingi kubwa za big six zitaacha point pale Msimu huu... Japo tumeshinda kwa mbimbe lakini tumeonyesha kuwa tunaweza kulinda ushindi wetu!
Ni kweli mkuuBonge la game, kipimo sahihi mnapokuwa na game mbovu mnaweza kuhumili pressure? Mkapata goli na kulilinda? Hakuna cha kulaumu. Ni binaadamu wale, sio PS. Cha msingi point tatu ugenini.
Leo tumefutishwa pumzi ya motoWapi wazee wa ball la kuvutia mnatusagia kunguni man u kila siku pira bovu naona mnaomba game imalizike.
Katika Games 10 ,Arsenal atacheza ugly football mech 1 au 2Wapi wazee wa ball la kuvutia mnatusagia kunguni man u kila siku pira bovu naona mnaomba game imalizike.