Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wapi wazee wa ball la kuvutia mnatusagia kunguni man u kila siku pira bovu naona mnaomba game imalizike.
 
Bonge la game, kipimo sahihi mnapokuwa na game mbovu mnaweza kuhumili pressure? Mkapata goli na kulilinda? Hakuna cha kulaumu. Ni binaadamu wale, sio PS. Cha msingi point tatu ugenini.
FACT!Alhamdullilah! hapa ndipo naona pana tatizo game hizi 2 za mwisho tumepelekewa moto na hawa vijitoto pressure imekuwa kubwa mno kwetu Next vs Southampton (Away game)

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kingine Arteta must decide kuchagua players wa Europa na Premier league baada ya Game vs Liverpool hatujarudi kwenye ubora wetu tena naanza kunusa harufu ya hatari ukizingatia tuna game vs PSV Thursday then Sunday vs Southampton hapa ndipo neno full squad linakujaga ukitegemea Saka na Martinelli or Odeegard waplay Thursday na Sunday muda si mrefu Default Setting itatokea

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mechi ya Bodo ilitakiwa ituashirie kwamba tunapotea, ya leo imeconfirm kwamba tunapotea.

Ni aibu kiukweli.

Yaani Leeds kaongeza shots, possession na potential dangerous move simply kisa ananyang'anya mpira kutuzidi na anafanya purposive movements kutuzidi? Na yuko 15th sisi ni wa kwanza?

Arteta atafute dawa kabla hatujaharibu zaidi ya performance ya leo na iliyopita.

Upuuzi.
 
Neno full squad hapa ndipo linapotokea tuna squad ya players wachache sana ambao naona kucompete League na Europa itakuwa ni very difficult at the same time

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…