Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Klopp alilalamika
kambi ya mazoezi alijianda salah kukutana na zinny au kieran
kwenye mechi kakutana na Tomiyasu
akaona bora salah akapumzike
 
Ayo ni mawazo weee takataka wa arse8, eti kwani uko kwenye kichwa cha gerald?🤪🤪
 
Reiss Nelson hana uwezo wa kucheza arsenal, bora akimbie kama alivyofanya Willock. Wenzake akina Rowe, Saka na Martinelli wamekuwa wazuri yeye kabaki anarukaruka.
Kinachoniuma wali graduate kwenye same year.

Binafsi naona Reiss Nelson ana progressives mbovu sana kuliko watu wote waliopewa nafasi,Yeye na dogo Jeff Adelaide watu walitegemea makubwa sana kutoka kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…