Arsenal (The Gunners) | Special Thread

washindi 8 katika magroup moja kwa moja wanaenda round 16..

second place of each group wanakabiliana na failure kutoka Champion's league kutafta kupata washindi wengine 8 kutimiza jumla ya timu 16🌚

Thus why Hizi mech 3 za mwisho Arteta atapambana Amalize nafas ya 1 ,aepuke mrundikano wa mech
 
kwani zmebaki tatu ni mbili mzee
 
πŸ—£οΈ| Bodo/Glimt manager Kjetil Knutsen on Arsenal and Mikel Arteta:


β€œI hope we can get the opportunity to visit Arsenal and get inspiration. The way he has developed the team is extremely impressive.” [@dagbladet] #afc
 
Kwenye mechi ya jana nilikua nikimfuatilia zaidi Turner jamaa ana goalkeeping ya hali ya juu sana ananusa sana hatari na ana anticipation ya juu mno nimegundua ni kipa mzuri kwenye hayo maeneo angalau kwenye mechi ya jana.
Amekosa kujiamini tu kwenye baadhi ya sehemu alitakiwa awe anaanza chini badala yake akawa anabutua.

Ila nimependa distribution yake.. i can see the changes under Mikel maana hakuwa hivi wakati anajiunga.
 
Official. Douglas Luiz has signed a new long-term contract with Aston Villa. πŸš¨πŸŸ£πŸ”΅πŸ‡§πŸ‡· #AVFC

Deal completed after negotiations on Deadline Day with Arsenal collapsed on clubs side; Villa considered DL untouchable.
More on Douglas Luiz. Understand new deal with Aston Villa will be valid until June 2026, four year contract. πŸš¨πŸŸ£πŸ”΅πŸ‡§πŸ‡· #AVFC

Negotiations started right after the end of the market as Arsenal had three bid rejected for Douglas on Deadline Day.
 
Labda hakukua na maongezi ya kumuitaji tena january?
 
daaaaah tuludi kwa tielemans tu
 
Huyu jamaa naye vipi akili zake? Sasa anashindwa vipi kutemana na Villa aje Kwa mabingwa?
Nilijua tu Steve Gerrard hawezi kuwapa Arsenal Douglas Luiz kirahisi, ni mtu wa fitina sana... Rejea kipindi kile sakata la Luis Suarez kutaka kuondoka Liverpool kwenda Arsenal, Steve Gerrard alishiriki kwa kiasi kikubwa kumshawishi Suarez asijiunge na Arsenal na alifika mbali na kumwambia kwa uwezo wake Arsenal si sehemu sahihi. Kuwapa Douglas Luiz Arsenal ni kuzidi kuwaimarisha sana na kufubaisha nafasi ya Liverpool kuchallenge ubingwa na Steve Gerrard na Liverpool ni pete na Kidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…