Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hivi Nan mfata upepo? Umesahau ulihamia Psg kufata mafanikio ,then umerejea humu Arsenal 🤣🤣
Hivi Nan mfata upepo? Umesahau ulihamia Psg kufata mafanikio ,then umerejea humu Arsenal
Oya mwana PSG mm sitakujibu Tena nacheki UCL
Barca vs inter Milano
Ollachuga OcLivakuku msimu ulopita hajabeba point hata moja kwetu. (Ukiondoa zile finales) kwa sasa hii Livakuku ni takataka hamna timu pale adi ninyi arse8 munajipigia tu halafu ulikuwa “unapata uchungu?” Iv mwanaume na yeye anapataga uchungu? Halafu umeona jana tumemnywa Ac milan ..jipangeni sana moto unakuja. Taratiiibu hatuna haraka sisi
#CFC
Tuliza makalio yako let's focus ya mbeleni umeandika ushuzi mzee sipendi unafiki wa kijinga Auba ni player ambaye lazima tumpe respectAma kweli nimeamini ata iweje maji hayawezi kusahau Asili yake, ata yachemshwe kiasi gani yatarudia tu ubaridi...! Kuna ndugu yetu asharudi kwenye Default mode kama kawaida yake, Ashaanza hoja zake ambazo hazina kichwa wala miguu
Hivi kwani mchezaji Mkubwa anapimwa Kwa vigezo gani maana isije kuwa tunachanganya Kati ya mchezaji Mkubwa na mchezaji maarufu
Kwa Akili zangu tu za kuvukia barabara naamini kuwa Gabriel Jesus ni mchezaji Mkubwa kuliko Auba, naamini kuwa Bobby Firmino ni mchezaji Mkubwa kuliko Auba nk
Kama kuwa top scorer ndio kuwa mchezaji Mkubwa basi Auba ni wachezaji Mkubwa kuliko kina Tevez,Eden Hazard,Wayne Rooney,Ian Wright nk
Umuhimu wa Gabriel Jesus pale Arsenal ni mkubwa sana maana yeye Kwa sasa ndio anachange atmosphere ya dressing room,ameletea nguvu na hali ya kupambana,ameleta mentality ya upambanaji na ata akiwa anaongea wachezaji wenzie wanamskiliza maana ameshinda mataji kibao pale England kuliko wao, sasa sijui mchezaji atamskiliza Auba Kwa kipi?
Kwa tafsiri rahisi kabisa na isiyokuwa na makando kando Jesus ni mchezaji Mkubwa katika ligi ya England kutokana na contribution zake akiwa City, kuwa top scorer hilo linawezekana Kwa mchezaji yoyote Yule na kutoka team yoyote ile ktk ligi, ila kuwa mchezaji mkubwa sio rahisi kama kuwa top scorer
Yaishe ndugu yangu, mm simvunjii heshima Auba , ila Auba mwenyewe kakiri amekosea , na had kesho ana tatoo ya Arsenal mkononimy friend Aaron Arsenal mimi legendary yoyote akiongea siwezi kumtrash ever hao watu wana DNA ya Arsenal kama sisi fans tulivyo so tusonge mbele Leeds Jpili anaumia si chini ya 2 goals haya tuachane nayo past is past let's focus na ya mbeleni bro
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mkuu utake au usitake Ila ukweli ni kwamba Una matatizo...! Kwenye comment uliyo niquote kuna sehemu me nimemtukana Auba?Tuliza makalio yako let's focus ya mbeleni umeandika ushuzi mzee sipendi unafiki wa kijinga Auba ni player ambaye lazima tumpe respectyake hata kama hutaki acha unaa wakati Auba anatupa raha why hukuandika upumbavu kama huu?mchezaji yoyote aliyetupa something hastahili kutukanwa au kusemwa lolote that's why fans wengi wa Arsenal ni wanafiki usen*** e mkubwa huu Auba kwangu hastahili kutukanwa may be wengineo siku Jesus akisepa akaenda kumtukana coach utakuja na upupu huu?Mesut mzee wa assist haijawahi tokea Arsenal akitoa maoni yake naye tumtukane ili iweje?huu unafiki nauchukia sana any player ambaye ametupambania tumuache hata kama akitutukana hivi wakati Auba anakuja Arsenal Jesus alikuwa wapi?Auba ana score 22 goals na kutupa FA na Community Shield tulikuwa tunamuwaza Jesus atakuja kuplay Arsenal?bro bro bro unafiki ni kitu kibaya sana sana I don't like that habit at all kila mchezaji ana umuhimu kwa kipindi chake na respect yake lazima apewe hata kama atatutukana au atuseme but RESPECT IS RESPECT
Wright Adams Vieira Van Persie Nasri Cesc Winterburn Dixon Bergkamp Seaman and So many legends hawa any time hata akiitukana Arsenal you don't need to react chukua maoni songa mbele waliyotupatia katika timu yetu enzi hizo yanabakia katika history ya Arsenal for example kwa akili yako fupi unataka kusema golden Boot ya Auba haipo katika Makumbusho ya Arsenal? Some fans kama wewe unakwama wapi bro?mbona una akili za kutosha kwa hili why unapotoka?Auba ana makumbusho yake ambayo yatadumu pale Arsenal kama katoa maoni unayachukua then unasonga mbele life goes on
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Gabriel n fighter na hoja hii niliizungumza sana kumtetea kipindi kile kina Will jr wana leta hizi tuhuma kwa mara ya kwanza,
Jamaa style yake ya uchezaj n muhimu sana kuwepo kwenye timu na ukiangalia pale Arsenal labda holding ndo anafanana nae kidogo, lakin sio White na siombei kabisa combo ya Saliba na White Kama ambavyo wengi wanavyo taman humu, pata vuja watu hawata aamin mechi mbili tu watu watamkubuka Gab,
Juma pili nilitoa pendekezo kama hili lako kwamba labda hyo namba awekwe Tomiyasu pengine likawa suluhisho bora kuliko white. white abaki kulekule mbili ndo kume mpendeza
Gabi n kwel sahv anavuja sana na ametuchoma sana uo n kweli haina haja ya kuufunika lakn n mchezaj anae kua, na ana sifa zote za kuja kua mchezaj nguli tunahitaj kumvumilia,
ikiwezekana Arteta aanze kumbench ili alifresh, Tomiyasu ama Holding wamkaimu kwa mda au turud kwenye back three mpaka Jamaa atakapo rudisha ubora wake