martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Arsenyani mshindwe kunipa hata ya supu kweli?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Arsenyani mshindwe kunipa hata ya supu kweli?
Tulikua kwenye form lakin nyie mlikua kwenye form zaidi yetu, leo tuko kwenye form zaidi na nyie mmedolola[emoji3][emoji3] usitegemee muujiza, leo kipigo akikwepekiMechi mbili za mwisho kukutana na Liverpool mbona mmefungwa hapo emirates.na mlikuwa kwenye form hivyo hivyo.kule kwenye kubet wamewapa points sawa na Liverpool inaonekana hata nyinyi kufungwa inawezekana na wala sio kitu cha ajabu,kama mngekuwa na uhakika mgepewa points 1.12 kama city vile yaaani uhakika.
Hata Man U kuwafunga utasema muujiza tena?
Endeleeni kupiga kelele tu Liverpool wako kimya.
Wataongea baada ya mechi mtakimbia hili jukwaa Leo ,maana kila timu Leo iko upande wa Liverpool .
Tusiongee sana sisi Mashabiki wa Liverpool tunasubiria matokeo hapo baadae ndio tuongee.
Haaland kiatuArsenal leo ngoja nipime ubora wenu maana Liverpool kapanga nondo kweli kweli mkitoboa hapa ndajua kweli mnaweza fukuzia top four.
Mtakimbia dk 90 zikifikaLeo wachambuzi uchwara wa humu wako wapi....mbona mapema sana?
Kabisa aiseeWe've lost control of the game
Kero kubwa, tunapelekwa kama tuko away......Kama si kosa la 4 au zaidi this season Gabriel anafanya blunder World Cup aisahau leo tumezidiwa kila kitu may be second half tuone but first half bora iishe Klopp kamzidi akili Arteta
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app