Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I believe Man u wakipata GK mwenye quality( chip balls) aina ya Ramsdale/ Ederson wanaweza kucheza mpira mzuri cuz technicians wazuri wapo kama Antony / Sancho ambao wakiwa kwenye nafasi nzuri wanakumaliza. As long as De Gea yupo golini wataendelea kustruggle kuretain possession dhidi ya timu bora, na itakuwa vigumu kucheza aina ya mpira kocha anaotaka.
Antony?

Sancho? Hapana.
 
Naona jukwaa lenu limechangamka kweli kweli, kumbe ule utoro ulikuwa kwa sababu ya kufungwa mimi nikadhani watu mna majukumu mengine
Kesho mko na majogoo wa Liverpool, nitawahi hapa wekeni seat za kutosha wageni watakuwa wengi
 
Mnauhakika mnaenda kuwafunga Liverpool?...

Tukija kwenye uwezo wa wachezaji mmoja mmoja , Liverpool bado wanawazid mazee au mnasemaje ....

Saka vs salah ...ni vile tu Saka yupo kwenye form ila class ya salah Kila mtu anaijua...

Diaz Vs martinel ...class ya Diaz martnell anakaaa ,ni vile tu Martinel yupo kwenye form ...

Partey Vs fabihno ....mazee hapa mnajua kabisa partey yupo kwenye form ila class ya fabihno ohooooo no comment...

VVD vs saliba ...hapa Kila mtu anaona kabisa kuwa class ya vvd ni kiwango Cha stg ni vile tu Saliba moto wa gesi umewaka yupo kwenye form ...

Firmino Vs Jesus ....form ya Jesus ni moto ila class ya firmino kwenye finishing ....nyie wenyewe mnajua ...

Thiago vs xhaka ....Kila mtu anajua moto wa Thiago ila ni vile tu xhaka saizi ni moto wa kuotea mbalii



Kitakacho kuwa kinapambana jumapili ni

Forms vs class ....!!!!!
The form will win.
 
Arsenal msimu huu mmeanza vizuri sana na mpo on form. Ila ku-battle na City kwenye ubingwa wa EPL ni ngumu sana.

City ndiyo hivyo gari lishawaka hapo anaweza kutembea mechi 10 anashinda tu kitu ambacho Arsenal hamtaweza kufanya.
Nasisi gari letu tushawaka..tutamsumbua city mpaka kieleweke
 
Ngoja msimu uishe mtakuja kumkataa hapa.
ila Arse ndio club inayoongoza kuvumilia upumbavu kwa Uingereza.
Screenshot_20221009_071912.jpg
 
Leo Liverpool akitufunga Emirates pale utakua muujiza mwingine katika soka,.

Mechi mbili za mwisho kukutana na Liverpool mbona mmefungwa hapo emirates.na mlikuwa kwenye form hivyo hivyo.kule kwenye kubet wamewapa points sawa na Liverpool inaonekana hata nyinyi kufungwa inawezekana na wala sio kitu cha ajabu,kama mngekuwa na uhakika mgepewa points 1.12 kama city vile yaaani uhakika.

Hata Man U kuwafunga utasema muujiza tena?

Endeleeni kupiga kelele tu Liverpool wako kimya.
Wataongea baada ya mechi mtakimbia hili jukwaa Leo ,maana kila timu Leo iko upande wa Liverpool .

Tusiongee sana sisi Mashabiki wa Liverpool tunasubiria matokeo hapo baadae ndio tuongee.
 
mechi ya leo dhidi ya liverpool ni kipimo kizuri cha utimamu wa akili kwa wachezaji wa arsenal ;matokeo ya mechi yata base apo ukiachilia mbali form walizo nazo timu zote mbili..
 
Back
Top Bottom