Yeah, Tierney amalize pale ili tuwe safe zaidiImo, Arteta amwanzishe Kieran Tierney mechi dhidi ya liverpool badala ya Zinchenko, tutawaua kirahisi huku Salah akidhibitiwa, Zinchenko akianza dhidi ya Salah tutakuwa exposed sana kwenye transition, japokuwa tunamuhitaji zaidi zinny if we go for total control.
Hapo mwishoni sijaelewa unaongelea ndoo ganLiverpool ukitoa kile kikosi chake cha kwanza ana nini cha ziada
Kukosekana kwa Thiago, Nunes, Anderson
Wiki zilizopita aliyumba sana kimatokeo
Na ata walipo rudi, bado wana struggle.
Alikua ni kikosi kamili lakin katoa draw na Brighton
Tena Brighton kapiga mpira mkubwa sana
Au nyumbu, japo ana wachezai wengi kuliko arsenal.
Ukitoa ile starting eleven yake, nae niambie ana nini cha ziada?
Ata uyo Chelsea kikosi anaunga unga tu
Kumbuka arsenal bado hatuna full squad
Na pengo kubwa akikosekana partey
Ila baada ya game na Liverpool, wanaofata hata bila ya partey ni Fimbo tu
Liverkuku mwenyewe nae ajiandae FIMBO za kutosha
Martinel ashaanza kutuma salam kwa A. anorld
Kwa sasa hakuna mid ya liverkuku inayoweza ku-battle na partey
Saka hawana uwezo wa kumzuia ata kidogo, kwanza huwa anakabwa na wachezaji kuanzia wawil
Saliba na Gabriel huo ukuta ameushinwa Kane, sijui huyo nunez na wajjnha wenzake watakuja kufanya nini
Zinchenko wamoto
Odegard wamoto
Xhaka ndio man of the show
Haaland anabeba kiatu
Arsenal anabeba ndoo
Zinny alikuwa injury akapona, Tierney kaumia jumatano, International game ,Inshu ni quality mkuu. Ndo maana Zin katoka kwenye injury kaanzishwa licha ya kuwa Tierney Yuko fit. Ode ametoka kwenye illness kina Viera wapo lakini bado hawaaminiwi.Inshu siyo wengi, inshu ni je atakupa product Sawa na yule anae Anza kikosi Cha kwanza?
Nitakuja hapa kukumbushanaNina uhakika hao wataanzaa kesho kutwa. Sema tuu baada ya kupata matokeo ndo watatolewa kupumzishwa. Labda kama haujamsoma Arteta.
Kama ulimsikiliza Arteta kabla ya mech ya Spurs alipoulizwa amejiandaaje dhid ya kaunta za Spurs alisema atakuja Kama Siku zote ,hivo waje na kaunta zaoImo, Arteta amwanzishe Kieran Tierney mechi dhidi ya liverpool badala ya Zinchenko, tutawaua kirahisi huku Salah akidhibitiwa, Zinchenko akianza dhidi ya Salah tutakuwa exposed sana kwenye transition, japokuwa tunamuhitaji zaidi zinny if we go for total control.
Ishu kwa white ni kuwa ana speed sana ile running power ya kupress high line na kurudi fasta when we defend transitions so Tomiyasu ni ngumu sana kuanza.Yeah, Tierney amalize pale ili tuwe safe zaidi
Basi white ampishe tomiyasu ile wings na full backs zi balance mikimbio
Unajua mkuu mara nyingi during transitions timu inakuwa juu kwenye opposition half, na liverpool ni transitional monsters, so it's better off kuanza na Tierney kuliko Zinchenko, Tierney is a good defender, Zinny ni mzuri technically tho.Kama ulimsikiliza Arteta kabla ya mech ya Spurs alipoulizwa amejiandaaje dhid ya kaunta za Spurs alisema atakuja Kama Siku zote ,hivo waje na kaunta zao
Most of fans mitandaon walitaka aanze Tierney coz ya hizo kaunta
Mm nasema aanze Zinny , why ? Tunahitaji ku control Midfield,
Ishu ya kudefence bado inabaki kwa Timu nzima
Tulifungwa na man u coz ya kaunta , Pep juz akajua ndio silaha yao iliyotumika kuwafinga Arsenal akaja tofaut na Siku zote, uliona alichofanya hakushambulia kwa 2-3-5 Bali Walker na cancelo hawakuwa wanaingia ndan Kama anavyofanyaga ili kuzimeza kaunta za man u
So Liverpool ya Sasa twende nao Kama mech nyingine, Cha Kwanza TU control MD , beki yao hasa Trent anapitika Sana
Ukiruhusu MD waitawale Ni kuruhusu Trent apande ,Hilo tatizo
MWISHO, kwasasa Tierney anazoeshwa na yeye kucheza Kama Beki kiungo
Utafauti wake na Zinny ,Zinny Ni Technical mguuni
Conte wa Spurs simuelewi kabisa. Sijui shida ni nini. Maana alipo kuwa Chelsea na Inter alikuwa anacheza mpira mzurii, Wachezaji Wana press mpaka golini. Lakini Spurs ana jilindaa sana haijarishi anacheza na giant au underdogNasoma comments za mashabik wa spurs Baada ya kutoka 0-0 na Frankfurt , na muda mwingi Spurs akicheza kiujanja ujanja kusubiri KAUNTA,
,dah Mashabiki Conte hawamuelewi, leo katoka na 0 shots on target ,
Wanadai kashaharibu uwezo wa Son, amekuwa butu
Spurs nimegundua form yake asilimia kubwa inategemea Sana uwepo wa Kuluvelski, ndiye mpishi mkubwa wa magoli yao .
Pia Richarlson akicheza right hajawahi kuwa na madhara ,
Everton alikuwa anatokea Left au anacheza false 9 lkn atatokea left
View attachment 2377395
Raphina ni mtuu aisee... Labda kama umeuangalia mechi ya leo tuu. Kuhusu Dembele bado ana ule utoto utotoo lakini assist nyingii zinatoka kwake.Raphina hakuna kitu pale
Promo alilopigiwa na uwezo haviendani
Dembele ananikumbusha ya Pepe
Makeke mengi lakini hana madhara
Bora raphina alitukataa, Bora sana
Barca arudi Europa akutane na Arteta tuone nani mtabe kwa vitendoNimeichek game ya barca
Kwa watu aliokua nao Xavi nadiliki kusema Xavi uwezo mdogo
Arteta anajua jamani
Amepigiwa low block na inter ameshindwa ku-unlock
Arteta au guardiola ukikaa nyuma ndio wanakuua vizuri