Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Alhamis tupo home ,Faida moja wapo niliwahi kusema humuTuombe pasiwepo na injury Alhamisi. Liverpool sio mbovu kihivyo. They play nice football but let down by LUCKY
Yeah ni kweliAlhamis tupo home ,Faida moja wapo niliwahi kusema humu
Tunaweza kuwatumia kina nketiah, Marquinho, Cedric, lokonga, na watoto wa academy na bado tukaongoza kundi
Nilikuwa najibu hoja Kuna mtu alidai tuna MICHUANO mingi Sana kina Jesus ,saka hawatoshi
Nikamwambia sisi hatuchez UCL ,hivo haitulazimu kuweka full mkoko,
Liverpool anaenda kucheza na rangers, atake asitake lazima aweke full kikos
Nilisema Arsenal ataanza kutumia kikos Cha Kwanza Europa hatua za mtoano
Group stages kina holding ,nketiah, Marquinho, Nelson ,na waliotoka majeruhi wanatosha kumaliza nafas ya Kwanza,
Hivo usitegemee kuwaona kina Saka, Martinell,Jesus,PARTEY, xhaka, zinny, Ramsdale, Saliba , n.k Europa
Arteta atachanganya kiasi kidogo Sana Kama beki mmoja , Tierney,Tomiyasu,Vieira ,nketiah, Nelson, wanahitaji dk,
, my prediction Alhamis
Turner
Tomiyasu Holding Gab Tierney
Lokonga. .......xhaka
Marquinho. Vieira. .....Nelson
Nketiah
Klopp zama zake zipo ukingoni, akiondoka Liverpool itawachukua muda kurud kwenye ushindan mkubwa, hata Bodi ya Liverpool inaogopa kumtimua,Mkimfunga Liverpool mtakuwa mnapandisha joto la klopp kuchanganyikiwa na kuzidi kukamilisha ile laana ya Kila baada ya miaka Saba kwenye club Mambo kuharibika
Tukimfunga Liverpool aisee sioni wakutuzuia kwasasa had tutakapokutana na city nadhani hi mech itachezwa Baada ya World cup au January kabisaMkimfunga Liverpool mtakuwa mnapandisha joto la klopp kuchanganyikiwa na kuzidi kukamilisha ile laana ya Kila baada ya miaka Saba kwenye club Mambo kuharibika
Shida ni kuwa Gunnerz mnategemea kikosi cha kwanza kupata matokeo.Tukimfunga Liverpool aisee sioni wakutuzuia kwasasa had tutakapokutana na city nadhani hi mech itachezwa Baada ya World cup au January kabisa
Alhamis tupo home ,Faida moja wapo niliwahi kusema humu
Tunaweza kuwatumia kina nketiah, Marquinho, Cedric, lokonga, na watoto wa academy na bado tukaongoza kundi
Nilikuwa najibu hoja Kuna mtu alidai tuna MICHUANO mingi Sana kina Jesus ,saka hawatoshi
Nikamwambia sisi hatuchez UCL ,hivo haitulazimu kuweka full mkoko,
Liverpool anaenda kucheza na rangers, atake asitake lazima aweke full kikos
Nilisema Arsenal ataanza kutumia kikos Cha Kwanza Europa hatua za mtoano
Group stages kina holding ,nketiah, Marquinho, Nelson ,na waliotoka majeruhi wanatosha kumaliza nafas ya Kwanza,
Hivo usitegemee kuwaona kina Saka, Martinell,Jesus,PARTEY, xhaka, zinny, Ramsdale, Saliba , n.k Europa
Arteta atachanganya kiasi kidogo Sana Kama beki mmoja , Tierney,Tomiyasu,Vieira ,nketiah, Nelson, wanahitaji dk,
, my prediction Alhamis
Turner
Tomiyasu Holding Gab Tierney
Lokonga. .......xhaka
Marquinho. Vieira. .....Nelson
Nketiah
Sisi Pengo kubwa kwasasa huwa Ni kwa Partey ,Shida ni kuwa Gunnerz mnategemea kikosi cha kwanza kupata matokeo.
Baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza wakianza kukosekana, Ndo hapo mnapo anza kupoteana .
Kwasasa hakuna aliyetoka injury kubwa, hivo usitegemee kuwaona kina Partey ,saka, Jesus ,zinny ,Arteta hafanyagi huo ujinga.
Anacho angalia ni kushinda leo.Fixture inayo fuata ndo anajua cha kufanya.
Ukitaka kuamini,Angalia wachezaji mhimu wanao toka kwenye injury huwa hawapi muda eti kuwa fit. Ni amepona Leo game inayo fuata Yuko kwenye starting lineup.
Angemjaribu tomiyasu hapo kwenye LCBAlhamis tupo home ,Faida moja wapo niliwahi kusema humu
Tunaweza kuwatumia kina nketiah, Marquinho, Cedric, lokonga, na watoto wa academy na bado tukaongoza kundi
Nilikuwa najibu hoja Kuna mtu alidai tuna MICHUANO mingi Sana kina Jesus ,saka hawatoshi
Nikamwambia sisi hatuchez UCL ,hivo haitulazimu kuweka full mkoko,
Liverpool anaenda kucheza na rangers, atake asitake lazima aweke full kikos
Nilisema Arsenal ataanza kutumia kikos Cha Kwanza Europa hatua za mtoano
Group stages kina holding ,nketiah, Marquinho, Nelson ,na waliotoka majeruhi wanatosha kumaliza nafas ya Kwanza,
Hivo usitegemee kuwaona kina Saka, Martinell,Jesus,PARTEY, xhaka, zinny, Ramsdale, Saliba , n.k Europa
Arteta atachanganya kiasi kidogo Sana Kama beki mmoja , Tierney,Tomiyasu,Vieira ,nketiah, Nelson, wanahitaji dk,
, my prediction Alhamis
Turner
Tomiyasu Holding Gab Tierney
Lokonga. .......xhaka
Marquinho. Vieira. .....Nelson
Nketiah
Inshu ni quality mkuu. Ndo maana Zin katoka kwenye injury kaanzishwa licha ya kuwa Tierney Yuko fit. Ode ametoka kwenye illness kina Viera wapo lakini bado hawaaminiwi.Inshu siyo wengi, inshu ni je atakupa product Sawa na yule anae Anza kikosi Cha kwanza?Sisi Pengo kubwa kwasasa huwa Ni kwa Partey ,
Kule mbele wengi wanacheza namba tofauti
Hivi unajua Jesus anacheza namba zote mbele
Vieira anacheza Kwa ode na saka
Zinny anacheza namba sichin ya 3 had kwa ode
Tomiyasu anacheza namba 4 za kwenye Beki kwa usahihi coz anatumia Miguu yote
Ben White anacheza RB,RCB NA DM
Ni eneo moja linatusesa ,nafas ya Partey na Baada ya elneny kuumia, so tunaomba atusogeze had January
Moja ya mikakati ya kutanua kikos alisema Mikeli ni kusajiri versatile players wengi
Hivi unajua Hata Pep ndio njia anayotumia ? Juz Dm wamecheza kina Gundogan Bernado Silva alimkosa Rodri.
Man city na Arsenal Wana idaid ya wachezaji 24-25 wakati timu kama man u ,n.k zina wachezaji had 31
Wewe unaiongelea Arsenal ipi, Tomiyasu, Vieira hata Partey mech na man u alikuwa na knock TU lkn hawakuchezaAngalia wachezaji mhimu wanao toka kwenye injury huwa hawapi muda eti kuwa fit. Ni amepona Leo game inayo fuata Yuko kwenye starting lineup.
Nina uhakika hao wataanzaa kesho kutwa. Sema tuu baada ya kupata matokeo ndo watatolewa kupumzishwa. Labda kama haujamsoma Arteta.Kwasasa hakuna aliyetoka injury kubwa, hivo usitegemee kuwaona kina Partey ,saka, Jesus ,zinny ,
Kama unabisha subiri kesho kutwa lineup
Liverpool ukitoa kile kikosi chake cha kwanza ana nini cha ziadaShida ni kuwa Gunnerz mnategemea kikosi cha kwanza kupata matokeo.
Baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza wakianza kukosekana, Ndo hapo mnapo anza kupoteana .