Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  1. Ili mshinde mumfanyie sub haraka huyo Gabriel
  2. Fungeni nne maana lazima Son afunge, Richalson
  3. Tena mkizemebea Kane ataongeza na Son 2
Tatizo la kushabikia mpira ukubwani

Spurs last time ananifungua sabubu ya cad
ya holding dakika ya 20
Partey kiungo tunachotegemea hakuwepo
Tomiyasu hakuwepo

Tukiwa full mkoko, spurs na chelshit fimbo mwanzo mwisho
 
Hii mechi inamuhitaji Tomiyasu, yale makosa tuliyofanya mechi na MANU yanataka kujirudia.. Ben White ni Mzuri ila kwa pembeni hapana aisee... Kuna mufa anajisahau anaufinya uwanja. Spurs wanapita kama sebuleni
Sijui kwanini arteta halioni hili tatizo ambalo linajirudia sana kwa Ben.
 
Me sio mshabik wa Gunners.. Lkn nilipita humu nikaona mtu anasema Partey ana low IQ dah namuangalia Partey leo hlf najiuliza huyo jamaa aliyosema ayo alikua serious au utan au uwa anaangalia game gani.
Aahh.. Ni kufunika kombe tu mzee, watakuja hapa na lugha zao mbovu, wao ndio wanajua mpira na nini, sisi wengine ni vilaza tu.

Ila kila nikimuangalia partey nakosa wa kumfananisha nae kwa sasa..
 
Nyie takataka muna timu ya kawaida sana .. arse8 hii kubeba ubingwa labda Yesu aludiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Very good results kwa Arsenal unatakiwa Top teams kama hizi unazipiga watoto unakuja kuvimalizia tu Next game vs Liverpool nataka kuona 3 points tunazipata kwa Liverpool mbovu no excuse and then Partey Mungu ampe maisha marefu Arsenal yeye ndiye reason ya kulose vs Manchester United baada ya kukosekanika but kuna mwamba mmoja alidai Partey ana low IQ plz mtu mzima akikosea huchutama omba Radhi kwa tusi kubwa ulilolitoa kuhusu mwamba wa Ghana
mimi my self niliomba radhi kwa Arteta last season bro


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…