Anachokifanya partey uwanjani, sijui nimfananishe na nani pale.
Tutake tusitake huyu mwamba anajua saana mpira,uchawi majeruhi yake.
Angekuja epl mapema na akawa fiti huenda angeingia katika listi ya viungo bora waliopata kutokea pale ligi kuu ya Uingereza.