Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Counter attack za son na Kane ,ndio silaha za conte ....!!Arsenal vs spursy
usitegemee game kuiona nzur hata siku moja ila tegemea kuona arsenal ikicheza vizuri watacheza vizuri hadi game itabore maana ili game iwe nzr pande zote ziwe zinashambulia na zinaweza kumiliki mpira japo hata kwa dk tatu.
kitu spurs ambacho spursy hawez kukifanya kwa arsenal hii
so game itakua ya upande mmoja tu
Spursy ajiandae kula fimbo 3 safi
Not at Emirates cuz the atmosphere is behind. Usiombe kuingia Emirates kama timu yako inacheza kimchongo.Counter attack za son na Kane ,ndio silaha za conte ....!!
Naam fimbo 3 safiArsenal vs spursy
usitegemee game kuiona nzur hata siku moja ila tegemea kuona arsenal ikicheza vizuri watacheza vizuri hadi game itabore maana ili game iwe nzr pande zote ziwe zinashambulia na zinaweza kumiliki mpira japo hata kwa dk tatu.
kitu spurs ambacho spursy hawez kukifanya kwa arsenal hii
so game itakua ya upande mmoja tu
Spursy ajiandae kula fimbo 3 safi
Son wa misimu mi2 iliyopita Sio huyu wa misimu huu, muunganiko wake Na Jane ulikuwaga mzuri Na hatari Sana Ila Conte kaja Na mbinu zake kumuharibu mkorea.Counter attack za son na Kane ,ndio silaha za conte ....!!
Kama kawaida naona unawashwa, badala uhangaike na timu lako limejaa mabeki WAZEE na wachomaji,Acha kuropoka, nyie ndio mtakula goli 3.
FT
Aser8 1 - 3 Spurs
Sawa , kahangaike na timu ya WAZEE kina auba Arsenal reject, kina zana kolibali,Kama kawaida Jiandae kujipiga ban baada ya kufungwa na Spurs.
Pamoja Sana , Spurs atapigwa Kama ngoma , timu inayokaa nyuma tu inavizia kaunta , Emirates haitatoka salamaWell said brother, kweli tunapitia kipindi kigumu baada ya timu kuuzwa. Mambo ni mengi bado hatujatulia, tunahitaji kusuka timu upya.