Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Usipinge mawazo yake, Ukweli usemwe Alegri ile timu imemshinda na soon atafukuzwa , na nitakuja kukutag hapa, decline ya Juve ilianza toka mwaka juzi,Acheni kujipa matumaini fake na kuanza kuwadharau na kuwatukana wengine, ligi ndefu sana hii yenye jumla ya mechi 38, nyinyi ndio kwanza mmecheza mechi 7 tu na mechi moja tayari mmeshapigwa, mineno kibaaaooo inawatoka utafikiri mmemaliza mzunguko wa kwanza, ninakuhakikishia kuna uwezekano mkubwa Juventus kuchukua kombe la ligi kuliko uwezakano wa Arsenyoko kuingia top 4.
"Muda huwa ni mwalimu mzuri sana"
Hii nukuu yako naomba uishi nayo baada ya muda si mrefu nitakukumbusha.
Locatel na Vlahovic Wamekuwa very poor ,Tena Kama locatelli sidhan hata Kama anapata airtime Kama aliyowahi kuipata Sassuolo ,Castr hebu kua na adabu basi, yaani Vlahovic na locatelli waache timu za maana halafu waje kwenye hio Academy yenu wacheze na watoto wa miaka 15 kweli????
Dusan hapo Juve amekuwa sio yule wa Fiorentina, Locatelli amekuwa poor ,Juve kila siku wanatobolewaVlahovic na locatelli ilitakiwa wawe kwenye hii Arsenal.
Wangeabudiwa hawa.
Wameenda Juve, Vlahovic hapati game time sawa na Locatelli, Allegri hajui anachofanya na wamepigwa dhidi ya Monza wakiongozwa kila kitu.
Mimi namuona Anthony yuko vizuri, naweka u-arsenal pembeni.Usipinge mawazo yake, Ukweli usemwe Alegri ile timu imemshinda na soon atafukuzwa , na nitakuja kukutag hapa, decline ya Juve ilianza toka mwaka juzi,
Na tatizo kubwa hawana kipa mwenye uwezo hata robo tu ya aliokuwa nao Buffon,
Wana mabeki wazee,
Halafu jamaa wale hajajitapa ameelezea uhalisia wa Juve kwasasa
Ni sawa na uhalisia wa man u kwasasa ,imepata matokeo ila mpira wa ovyo na ujanja ujanja ,haijulikan wanacheza system gani, kocha alimtaka Dejong , kamkosa ,mashabik wameliwazwa kwa kuletewa Casemiro ambaye sio chaguo la kocha ndio maana haaminiwi ,anaenda kuwa flop mpya
Mmenunua Anthony anayerukaruka tayari ana kila dalili za kuwa Flop Zaid hata ya Sancho
Hivo uhalisia unaposemwa Sio kwamba Ni kujisifu
Nan asiyejua Juve msimu wa 3. Huu ina struggle
Tutakumbushana hapa , labda Kama unamuona vzr kwenye visigino na drama za kuchezea mpira ,maana hata Zile vyenga hata Kama vya Nicolas Pepe hamfikii ,Mimi namuona Anthony yuko vizuri, naweka u-arsenal pembeni.
Nafurahi sana, wake up, tushapita huko we are so good rn.[emoji1787]Acheni kujipa matumaini fake na kuanza kuwadharau na kuwatukana wengine, ligi ndefu sana hii yenye jumla ya mechi 38, nyinyi ndio kwanza mmecheza mechi 7 tu na mechi moja tayari mmeshapigwa, mineno kibaaaooo inawatoka utafikiri mmemaliza mzunguko wa kwanza, ninakuhakikishia kuna uwezekano mkubwa Juventus kuchukua kombe la ligi kuliko uwezakano wa Arsenyoko kuingia top 4.
"Muda huwa ni mwalimu mzuri sana"
Hii nukuu yako naomba uishi nayo baada ya muda si mrefu nitakukumbusha.
Juve inacheza mpira wa hovyo. Timu haiwezi kupiga pasi tanoKuna wajinga km Computerarsenal walifurahi Vlahovic kwenda Juve kwamba kaikomoa Arsenal, wenye akili waliona anaharibu career yake.
Wajinga haohao walisema Arsenal hawajielewi kwa kumpa kazi Mikel Arteta wakati Allegri mwenye uzoefu hana timu,
sisi tunaomba uzoefu wake uikomboe juve now, muda huwa ni mwalimu mzuri sana.[emoji1787]
Vlahovic mtoto mdogo pia.Castr hebu kua na adabu basi, yaani Vlahovic na locatelli waache timu za maana halafu waje kwenye hio Academy yenu wacheze na watoto wa miaka 15 kweli????
One of ours who got away. Ila yule Sergie Gnabry ndio inatuuma zaidiAlex Iwobi amekuwa bonge la midfielder, Unai emery angekuwa na jicho la lampard asingemuuza iwobi. Lampard kambadili Iwobi kuwa mid mzuri sana.
Kiukweli mi Anthony naona kitamkuta kama kilichomkuta Depay.Mimi namuona Anthony yuko vizuri, naweka u-arsenal pembeni.
Hakuna mchezaj mule, time will tell,Kiukweli mi Anthony naona kitamkuta kama kilichomkuta Depay.
Tuombe uhai kila kitu kitajiweka wazi
TULIPINGA SANA HUMU EMERY SIO KOCHA WA KUIVUSHA ARSENAL , NATAMAN SIKU AENDE MAN U AKAWAZAMISHE ,Alex Iwobi amekuwa bonge la midfielder, Unai emery angekuwa na jicho la lampard asingemuuza iwobi. Lampard kambadili Iwobi kuwa mid mzuri sana.
Nyie Arsenyani mmesikiliza lakini interview ya Son baada ya kupiga hatrick gemu iliyoisha?
Jumamosi ni zamu ya Harry Kane kuondoka na mpira wake pale kwenye uwanja wa Emirates.
Man United kama kawaida yetu tunaendeleza palepale tulipoishia kwa hizi zinazojiita timu kubwa.
Alianza Liverpool akachezea, akaja Arsenyani tukamkanda, jumapili zamu ya city halafu tunasubiria kumshona Chelshit ili tufunge kazi kwenye mzunguko wa kwanza.
Kuna fanboy Wa Arsenal wakati wa usajili alinambia Antony hafai hawezi kumgusa Raphinha kwa ubora, point yake ilikuwa Antony hana pace.Kiukweli mi Anthony naona kitamkuta kama kilichomkuta Depay.
Tuombe uhai kila kitu kitajiweka wazi
Nyie ni wazee wa maneno maneno tumeshawazoea wala hamtupi tabu.Kuna fanboy Wa Arsenal wakati wa usajili alinambia Antony hafai hawezi kumgusa Raphinha kwa ubora, point yake ilikuwa Antony hana pace.
Tungekuwa na Raphinha now tungesumbua mno, kitu pekee kingetuzuia ni backup ya TP.