wewe hatuna tatizo na wewe
kitu usichokipenda wewe usikitie ubaya kisa hukipendi
Endeleeni na upenzi wenu wa hizo timuViwanja wanavyo au hawana ?
hata hivyo kutokuwa na uwanja haimaani ni ujinga au ni wajinga yanga walikuwa na uwanja wao wa kaunda
Gwambina wana uwanja wao chelsea hawana
kwa mantiki yako chelsea kwa Gwambina
chelsea ni wajinga
Halafu kuhusu aftvKupitia, inter, Milan
Ndio unataka kuubaliki ujinga unaoendelea hapa bongo
Unajua sababu za inter na Milan kutokua na viwanja?
Analysis haviendani na uchezaji uwanjani
Kifupi, hawajui kucheza mpira
AFTV wale n waandishi wa habari kama waandishi wengine, wao anatafuta airtime tu
Kuna siku ilikua laliga, barca vs Madridkila mtu aangalie anachopenda, au sio mzee!
yeah ila kusema hicho kitu ni kibaya kisa wewe hukipendi ndio dishi kuyumbakila mtu aangalie anachopenda, au sio mzee!
dstv yenyewe huna unaleta mbwembwe kama slay queen wa tandaleEndeleeni na upenzi wenu wa hizo timu
Hakuna sehemu nilikataza watu, na pia neno langu sio sheria
Ila siwezi kuangalia upuuzi wa simba na yanga,
Ndio maana nikiona game kati ya simba au yanga inacheza
At the same time nataka kuangalia EPL/bundesliga/laliga
Huwa naaga kistaarbu tu, narudi zangu home, kucheki game
Coz, siwezi kuangalia UPUUZI
Canal decoder inaokoa mkuudstv yenyewe huna unaleta mbwembwe kama slay queen wa tandale
Si umesema na wewe unataka kutoboa?Angalia soksi za dingi ako nae katoboa pia
Henry alionesha upeo mdogo wa mpira kimbinu au alifanya makusudi kutengeneza toxic atmosphere by that time ili kocha afukuzwe, kusema huoni progress ya timu kisa haipati matokeo ni uelewa mdogo wa mpira, wanaoelewa mpira waliona uwezo wa mikel toka mwanzo anashinda 2-0 vs United, anachukua FA cup mbele ya City & Chelsea, naweza kukupa clip kama zote za Pep Guardiola akimuhype Arteta on his worst days, Edu Gaspar kasimama na Arteta hata mambo yalipoenda kombo cuz alielewa vision yake.Si dhambi mtu akikosea ukampa makavu na akipatia ukamsifia, ni kweli arsenal imeimarika, hapo nyuma hata mimi nilikuwa na mawazo huenda kama ya Henry, arteta alionesha dalili nzuri lakini alikuwa na wachezaji viazi kitu kilikuwa kinamuangusha, huenda th14 alikuwa anamtaka bosi wa Spotify ili aje kuwekeza na kusajili fasta fasta top players... Ila kumbe mipango ya aterta ni tofauti anaijenga timu kwa awamu.
Mpira wa Afrika tunapendea vibe tu ila we are so low tactically, na wengine hatuwezagi kudowngrade, me ni shabiki wa Yanga ila ni mara chache sana naweza kuangalia dk90 game za Yanga cuz nakuwaga bored kwa mpira usiojali principles. So kusema km ukiwa shabiki utaangalia mechi yoyote, big No, maybe if you're a scoutMoja ya michango ya hovyo mno kuwahi kutokea
wewe sio shabiki wa mpira
unafuata mkumbo
shabiki wa mpira hata akiona watoto tu wanacheza atasimama aangalie hata kwa dk 10
dstv kwako inakushinda unadharau mpira wetu
muwe mnaficha ujinga
Umeongea hata kukubishia nimeogopaMpira wa Afrika tunapendea vibe tu ila we are so low tactically, na wengine hatuwezagi kudowngrade, me ni shabiki wa Yanga ila ni mara chache sana naweza kuangalia dk90 game za Yanga cuz nakuwaga bored kwa mpira usiojali principles. So kusema km ukiwa shabiki utaangalia mechi yoyote, big No, maybe if you're a scout
Henry ni mtu wa nje, EDU anajua kiunaga ubaga kinachoendelea pale, katafute interview alipotoa maelezo juu ya sajili za kina David luiz na William ndio utajua edu na arteta lao moja wanajua wanachokifanya, wanajenga timu kwa awamu,kila awamu ni blra zaidi ya nyuma yake mpaka pale wafike wanapotaka wao.Henry alionesha upeo mdogo wa mpira kimbinu au alifanya makusudi kutengeneza toxic atmosphere by that time ili kocha afukuzwe, kusema huoni progress ya timu kisa haipati matokeo ni uelewa mdogo wa mpira, wanaoelewa mpira waliona uwezo wa mikel toka mwanzo anashinda 2-0 vs United, anachukua FA cup mbele ya City & Chelsea, naweza kukupa clip kama zote za Pep Guardiola akimuhype Arteta on his worst days, Edu Gaspar kasimama na Arteta hata mambo yalipoenda kombo cuz alielewa vision yake.
Chelsea na milan kukosa viwanja sio sababu ya simba na yanga kukosa viwanja....Chelsea ana kiwanja ?
milani ana kiwanja
inter ana kiwanja ?
kuhusu analysis huo ni mtizamo wako
Dishi kuyumba au tutoyumba as long as havunji sheria ni sawa tu
hivi ushawahi kuwaangalia wale AFTV enzi zile wale ndo madishi yalikuwa yameyumba haswa wale jamaa walikuwa wanaka arsenal ifungwe ili wapate hela
Umedandia mtumbwi wa vibwengoSi umesema na wewe unataka kutoboa?
Haya nenda katoboe halafu usubiri masela waje kutoboa hicho kidonati chako.
Vitoto vya kiume vinavyojiita Jr sijui kwa nini hua sina imani navyo kabisa.
unajua tumefikaje huku au umekuja na conclusion yako tu ?Chelsea na milan kukosa viwanja sio sababu ya simba na yanga kukosa viwanja....
All in all sisi bado sana ktk michezo yote sio soka tu....iwe boxing iwe riadha,
(PP)Poverty&Politics zinatuangamiza.
tupo mdauJmani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
Siasa kila wakati inaboa jama
Hata Pep & Pochettino ni watu wa nje ila mitazamo yao ilikuwa positive kuhusu Arteta kwa uelewa wao kimpira.Henry ni mtu wa nje, EDU anajua kiunaga ubaga kinachoendelea pale, katafute interview alipotoa maelezo juu ya sajili za kina David luiz na William ndio utajua edu na arteta lao moja wanajua wanachokifanya, wanajenga timu kwa awamu,kila awamu ni blra zaidi ya nyuma yake mpaka pale wafike wanapotaka wao.
Henry kaishakuwa kocha sasa ana falsafa zake, tayari wachezaji kadhaa alikuwa hawakubali, yeye alikuwa anataka mabadiliko ya haraka edu na arteta wanaenda kwa awamu.
Jambo zuri ni kwamba alipoona sio alisema na sasa kaona safi amekubali, nahisi ni mapenzi yaliyopitiliza juu ya timu yake ya maisha ikawa hivyo.