Mkuu ulaya ni ulaya tuNimependa maneno ya kocha Thomas Frank wa Brentford baada ya game. Anavyotusifia Arsenal na kutuita title contender kwa Mtazamo wake, halafu anachambua ile pass ya Xhaka kwamba ilipigwa vizuri sana. Anasema Arsenal ilionesha kipindi cha pili kwamba kwa nini ni timu kubwa. Nahodha wao na mchezaji muhimu sana Odegaard hakuwepo, akacheza Vieira mwenye miaka 22 au 21 hivi kama mbadala wake ambaye amegharimu kitu kama £35m. Anasema ndio maana alionesha ubora wake na utofauti pale alipokuwa nje ya box la timu yake.
Itoshe kusema Ulaya Ulaya tu. Kocha anajua mpaka thamani za wachezaji wa timu pinzani na hajadanganya kitu. Na ananyoosha maelezo.
Aaaah ode mtu na nusu yule jamaa kwanza ukimuangalia tu unaenjoy namuona km ozilJamaa ana hatar ode yuko slow sana
Moja ya michango ya hovyo mno kuwahi kutokeaMkuu ulaya ni ulaya tu
Jana baada ya game ya arsenal, washabiki wa simba walivyoanza kuingia tu, na mimi nikaaga
Siwezi kuumiza macho kwa mipira ya Africa
Camera low quality
Viwanja vibovu
Kubwa zaidi wachezaji hawaujui huo mpira wenyewe
Si dhambi mtu akikosea ukampa makavu na akipatia ukamsifia, ni kweli arsenal imeimarika, hapo nyuma hata mimi nilikuwa na mawazo huenda kama ya Henry, arteta alionesha dalili nzuri lakini alikuwa na wachezaji viazi kitu kilikuwa kinamuangusha, huenda th14 alikuwa anamtaka bosi wa Spotify ili aje kuwekeza na kusajili fasta fasta top players... Ila kumbe mipango ya aterta ni tofauti anaijenga timu kwa awamu.Japo Tulipoteza dhidi ya Man u ila ule mbinyo tuliompa man u hasa kipindi Cha pili
Umemfanya Thiery Henry ambaye alikuwa anamponda Sana Arteta akitaka timu apewe yeye na pia auziwe yule jamaa yake wa sporty fy , AMKUBALI ARTETA na amekiri sasa anaiona Arsenal ya Arteta imejengwa
Kumbe na wewe kakukera kama kama alivyonikera mimi.Moja ya michango ya hovyo mno kuwahi kutokea
wewe sio shabiki wa mpira
unafuata mkumbo
shabiki wa mpira hata akiona watoto tu wanacheza atasimama aangalie hata kwa dk 10
dstv kwako inakushinda unadharau mpira wetu
muwe mnaficha ujinga
Yaani yupo afrika na anaponda uafrika wake hawa wakibaguliwa sijui watajisikiaje maana kashaanza kujibaguaKumbe na wewe kakukera kama kama alivyonikera mimi.
Bongo, na afrika kwa ujumla mpira ni bado sana 98%Moja ya michango ya hovyo mno kuwahi kutokea
wewe sio shabiki wa mpira
unafuata mkumbo
shabiki wa mpira hata akiona watoto tu wanacheza atasimama aangalie hata kwa dk 10
dstv kwako inakushinda unadharau mpira wetu
muwe mnaficha ujinga
Haujui lolote kuhusu mpiraBongo, na afrika kwa ujumla mpira ni bado sana 98%
Ndio shida ya mtu mweusi, hapendi kuambiwa ukweliYaani yupo afrika na anaponda uafrika wake hawa wakibaguliwa sijui watajisikiaje maana kashaanza kujibagua
anajiona special kwenye kundi la analoliona ni takataka
interms of nini ?Ndio shida ya mtu mweusi, hapendi kuambiwa ukweli
Yanga vs simba
Spurs vs arsenal
Pata picha, and see difference
Tukianza simba na yangaHaujui lolote kuhusu mpira
Mkuu, hata mimi siangalii hizo mechi. Sifurahii wala kuhamasika, naangalia kinachofurahisha nafsi yangu. Hata simba vs yanga huwa siangalii.Ndio shida ya mtu mweusi, hapendi kuambiwa ukweli
Yanga vs simba
Spurs vs arsenal
Pata picha, and see difference
Chelsea ana kiwanja ?Tukianza simba na yanga
Timu miaka nenda hazina viwanja
Analysis zinazofanywa na mpira unaochezwa ni mbingu na ardhi
Alafu, washabiki wa hii simba na yanga wanaongea sana. Kuliko uhalisia
Yani mpo kama dishi limeyumba hivi
Ustaarabu ni nini ?Everything
Hadi ustaarabu hapo
wewe hatuna tatizo na weweMkuu, hata mimi siangalii hizo mechi. Sifurahii wala kuhamasika, naangalia kinachofurahisha nafsi yangu. Hata simba vs yanga huwa siangalii.
Simba vs yangaMkuu, hata mimi siangalii hizo mechi. Sifurahii wala kuhamasika, naangalia kinachofurahisha nafsi yangu. Hata simba vs yanga huwa siangalii.
Kupitia, inter, MilanChelsea ana kiwanja ?
milani ana kiwanja
inter ana kiwanja ?
kuhusu analysis huo ni mtizamo wako
Dishi kuyumba au tutoyumba as long as havunji sheria ni sawa tu
hivi ushawahi kuwaangalia wale AFTV enzi zile wale ndo madishi yalikuwa yameyumba haswa wale jamaa walikuwa wanaka arsenal ifungwe ili wapate hela
Viwanja wanavyo au hawana ?Kupitia, inte, Milan
Ndio unataka kuubaliki ujinga unaoendelea hapa bongo
Unajua sababu za inter na Milan kutokua na viwanja?