Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumepata mtu wa kuziba nagasi ya odergad vizuri, fabio yuko vizuri.
Kiuhalisia ila ukweli kabisa ode ni urojo urojo hata kupiga ni bahati mbaya mpaka final touch, kazi yeye ni passing kitu kinacost Kuna maeneo anakosa maamuzi rejea mechi ya man UTD jamaa katika boksi hapigi kapiga anataka kupiga pasi

Ndo maana naona bora ya fabio na xhaka maana hao wanaweza kupiga mda wowote.
 
Fabio ni ode aliyekaza.
 
Niko hapa leo, nasikia mitaani watu wansema kuna mgonjwa mahututi hapa muda wowote atakata roho, nimewahi siti
Namuamini sana Toney na Mbeumo pia naamin9i Gabriel atatupa penalti
Vipi penalt imetokea???
 

Ode bado ni bora zaidi ya fabio uwezo wa kutengeneza chances, kukaa na mpira. Partey kuwepo kwake kunafanya pale kati kuwa imara zaidi na kumpa ode nafasi zaidi ya kutawala dimba , ku dropped dipper kuchukua mpira na ku move wider pale saka anapoingia ndani , control yake ya mpira kwenye tight areas. Ni kweli ode si mpigaji lakini vitu anavyo offer kwenye final third ni vingi kuliko fabio .
 
Japo Tulipoteza dhidi ya Man u ila ule mbinyo tuliompa man u hasa kipindi Cha pili

Umemfanya Thiery Henry ambaye alikuwa anamponda Sana Arteta akitaka timu apewe yeye na pia auziwe yule jamaa yake wa sporty fy , AMKUBALI ARTETA na amekiri sasa anaiona Arsenal ya Arteta imejengwa
 
Hivi hizi soksi wanazitoboa wenyewe makusudi au ni style mpya kwenye soka. Kuna mchezaju wa timu nyingine pia niliziona zimetoboka hivi hivi?!
View attachment 2360819
Usishangae sana hio ni sign mpy ya wale vijana wa Rainbow

Hapo Martinell anautangazia umma mlango wa kati upo wazi ndio maana ya hivyo vitobo wanavyo toboa kwenye soksi.
 
Nimependa maneno ya kocha Thomas Frank wa Brentford baada ya game. Anavyotusifia Arsenal na kutuita title contender kwa Mtazamo wake, halafu anachambua ile pass ya Xhaka kwamba ilipigwa vizuri sana. Anasema Arsenal ilionesha kipindi cha pili kwamba kwa nini ni timu kubwa. Nahodha wao na mchezaji muhimu sana Odegaard hakuwepo, akacheza Vieira mwenye miaka 22 au 21 hivi kama mbadala wake ambaye amegharimu kitu kama £35m. Anasema ndio maana alionesha ubora wake na utofauti pale alipokuwa nje ya box la timu yake.

Itoshe kusema Ulaya Ulaya tu. Kocha anajua mpaka thamani za wachezaji wa timu pinzani na hajadanganya kitu. Na ananyoosha maelezo.
 
Usishangae sana hio ni sign mpy ya wale vijana wa Rainbow

Hapo Martinell anautangazia umma mlango wa kati upo wazi ndio maana ya hivyo vitobo wanavyo toboa kwenye soksi.
Angalia soksi za dingi ako nae katoboa pia
 
Odegaard ni mchezaji mzuri ila Fabio vieira anafanya vyote hivyo, added advantave anapiga miguu yote kwa ubora uleule (ballstriking), na zaidi anaweza kucreate chances ht akiwa kwenye deep areas, kuhusu kuexcel kwenye tight spaces angalia build up ya goli la Marquinhos vs Zurich. Fabio viera anafananishwa na De bruyne for his final ball, pia anafananishwa na Bernardo Silva interms of Press resistance, ana sifa za wachezaji wawili muhimu sana kwenye possession based football. Binafsi Odegaard namuona kama Controller, Viera kama creator.
 
Wahuni naona wanawish kuona midfield ya ESR , Fabio viera, Partey. ESR yupo kama Vieira kwa ballstriking, anaweza kucombine vizuri kutengeneza space then mpira ukijaa mguuni huwa anaachia shot, na mara chache sana kukosa.

Xhaka naye anaevolve na project kila mara, siku hizi amekuwa mzuri kwenye #8 role, his half space crosses are excellent.
 
Usishangae sana hio ni sign mpy ya wale vijana wa Rainbow

Hapo Martinell anautangazia umma mlango wa kati upo wazi ndio maana ya hivyo vitobo wanavyo toboa kwenye soksi.
Chai hii
"Players cut holes in their socks in order to reduce pressure on the calf muscles, which are often restricted by the form-fitting, snug nature of the garment.

For players who have bulging leg muscles, socks can prove particularly restrictive, causing difficulties with effective bloodflow and circulation, as well as breathability"
 
Baada ya ushindi hatimaye jamaa kaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…