Pigaaa mambwa hayaaaa
Anamfokea nani sasa kwn nani alimwambia asajili vitoto.Mwenye clip ambayo arteta anafoka aipost
Kuna kitu nataka nimsome
vipi jana tokeo lako likoje nduguPiga mbuzi haooo
Hii hapa mkuuMwenye clip ambayo arteta anafoka aipost
Kuna kitu nataka nimsome
Wewe umesema ukweli mtupu, Arsenal ni team inayojengeka vizuri ila haina depth kubwaHatuna kikosi kikubwa sana kukomaa kila upande.
Tufocus na Europa
AsnteHii hapa mkuuView attachment 2348524
Why kila season hali inakuwa hii?mbona magiant wenzetu wanaweza why not us?Hatuna kikosi kikubwa sana kukomaa kila upande.
Tufocus na Europa
Recruitment wapo slow. Soko lipo corrupted.Why kila season hali inakuwa hii?mbona magiant wenzetu wanaweza why not us?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ukiwaambia ukweli wanakuchukia. Endelea kuwaelewesha na ikiwezekana habari ziwafikie mpk London mana mashabiki wengi wa Arse8 viazi hata wa England.Why kila season hali inakuwa hii?mbona magiant wenzetu wanaweza why not us?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Toka umeanza kusumbua humu na acc zako za milango mitatu huchoki wala hukui, wote tunajua we ni shabiki la Man u unayejiquote na acc zako mbilimbili. This nigga is dumbass walah.Why kila season hali inakuwa hii?mbona magiant wenzetu wanaweza why not us?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wewe mbwiga computerarsenal ameuliza swali lenye akili, badala utoe jibu la kueleweka unaanza kumshambulia muulizaji.Toka umeanza kusumbua humu na acc zako za milango mitatu huchoki wala hukui, wote tunajua we ni shabiki la Man u unayejiquote na acc zako mbilimbili. This nigga is dumbass walah.
Daaahhh we jamaa hayo ni maswali magumu sana kujibiwa na hii misukule ya Arteta, sanasana wataishia kukutukana tu na kukuita ni mamluki.Why kila season hali inakuwa hii?mbona magiant wenzetu wanaweza why not us?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Endelea kuswitch tu mbweha wewe, tunakustudy huo upopoma wako.Daaahhh we jamaa hayo ni maswali magumu sana kujibiwa na hii misukule ya Arteta, sanasana wataishia kukutukana tu na kukuita ni mamluki.
computerarsenal pamoja na hamis77 ni washabiki pekee wa Arsenal wenye IQ kubwa hapa jukwaani, huwa nawasikitikia sana kwa ukubwa wa akili zao sijui imekuaje wakakosa timu za maana za kushabikia mpaka wakaamua kujichanganya na haya Mazombi ya Arteta.
Yaani humu watu hawaruhusiwi ku reasons, hapa ni mwendo wa kusifu tu na kuabudu fullstop.
Hebu tembeleeni majukwaa ya Chelsea, Man United, Liverpool n.k muone jinsi mashabiki wanavyo kichafua pale kunapotokea mizinguo kwenye timu, ila huku ukihoji kidogo tu basi wewe ni mamluki.
Ndio nimeyapata na sina haja ya kukujib kila kitu ulikiona .Naam.... Nadhani majibu umepata.