OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kale kakumbavu Aaron katimu kake kakifungwaga kanapoteaga kuja kukapata kanakuja na vitetesi na vitakwimu uchwarà ..saivi kako na Bwana zake mtaani kwao uko wanamkandakanda😂😂😂Subiri wakati wa usajili atakuja na tetesi zake uchwara, Aaron miaka 5 nipo Jf yeye nyakati kama hizi kuwa haonekani kuja kufanya uchambuzi kuna mwaka hadi watu walimuanzishia uzi wa kumtafuta maana alitoa imani na kutamba sana humu baadae mambo yakageuka vibaya nakumbuka ila final Europa mliyofungwa na Chelsea na kwa vile ilikua mwisho wa msimu jamaa alipotea sana akaacha jukwaa linashambuliwa mpk kulivyopoa na kufika muda wa tetesi ndio akaja kuendeleza uchambuzi wake.
Wewe takataka ulisema unapotea miezi mitatu ..unafanya Nini uku mbuzi wewe😂😂😂 potea Sasa ..hahahaKuna ambaye hajafungwa?wewe mwenyewe hujanyukwa ?chuki itakuua
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Sio anampa lawama, Kitoabu itakua wewe hujamfatilia vizuri Aaron Arsenal humu jikwaani.Unavyo mpa lawama Aaron Arsenal utadhani yeye ndio Arteta ama Edu.
Huyo jamaa ni shabiki tu kama wewe hana maamuzi kwenye timu.
Nyie Kenge kama mmemaliza kutukana mtupishe sasa
Tuanze kuweka mikakati yetu sawa
Chelshit, mnapata wapi nguvu za kumcheka baba yenu wa london!?
Lakini miaka kadhaa hapa nyuma manure amekuwa akifa kqa arsenal, ya jana wengi tulitamani kumnyuka manure ili iwe statement kwa rivals wote kuwa sisi sio wa mchezo ila mpira ndio ulivyo, hata hizo 5 unbeaten ni rekodi nzuri, hakuna timu isiyofungwa.Always arsenal anatawala possesion akicheza na man u. Lakin kuna weakness moja ambayo arsernal miaka nenda miaka rudi hamuofanyii kazi.. mko so exposed kwa counter attack.
Na hapa man u ndipo wanawawezea
Vibonde wa epl?hahahahaha juzi mbeleko ya VAR iliwaponya na kichapo cha haohao vibonde wa epl,Offpoint, mliwafunga vibonde wa EPL tu kama nimesema uongo nikosea kutokea hapo, Chelsea imeingiaje hapo
HapanaKwani ligi imeisha?
Kwan ukimfunga kibonde unapewa point ngapi?Offpoint, mliwafunga vibonde wa EPL tu kama nimesema uongo nikosea kutokea hapo, Chelsea imeingiaje hapo
Safari ndio imeanza mzee wangu, mdogo mdogo tuu utakuwa kwenye nafasi yako
Hata huoni aibu kuita the gunners takataka, huko kwenu misiba kila kukicha. Hivi liverkuku wapo nafasi ya ngapi tena.
Kama mmefungwa na wale nyumbu nyie ni matakataka tu🤣🤣🤣Hata huoni aibu kuita the gunners takataka, huko kwenu misiba kila kukicha. Hivi liverkuku wapo nafasi ya ngapi tena.
Upo sahihi kabisa, top six ina mechi kama kumi hivi home-away. Basi tuwe na 50% wins, 30%loss na 20%draws. Tukifikia stage hii naamini tunakuwa mabingwa watarajiwa.Kufungwa na Man U, haimaanishi Arsenal ni mbovu au hakuna progress. Progress inaonekana wazi kabisa!
Yoyote aliyeangalia mechi anajua Arsenal walivyo hatari.
Ni mechi ya kwanza dhidi ya Top 6 opponent. Huwezi kutumia mechi moja kama reference kwamba Arsenal bado hawezi kuzifunga Top 6 teams.
Misimu mingapi Man City anafungwa na kina Man U, Tottenham nk... na bado anachukua ndoo.
Kuna mdau mmoja alisema "Kama Man U ingecheza kama Arsenal jana, basi Man U angeshinda nyingi mnoo"
Kabla ya kufungwa goli la pill, Arsenal walikuwa dominant, walicontrol mpira na walikuwa threat going forward.
Goli la pili lilibadilisha dynamics za mechi. Wachezaji nao ni binadamu siyo robots, wanapata mental breakdowns pia.
Litimu la wazee kina Hendo na Milner unataka kufananisha na The gunners, hem kuwa na adabu kwa Kings wa London.Kama mmefungwa na wale nyumbu nyie ni matakataka tu🤣🤣🤣
Bila kujali tupo nafasi ya mashimoni.
Timu gani linapigwa hadi na Nyumbu?Litimu la wazee kina Hendo na Milner unataka kufananisha na The gunners, hem kuwa na adabu kwa Kings wa London.