Nilishasema mkaona naongelea ushabiki arsenal hana kikosi cha kumfunga man U mlivyoona tumepigwa na Brighton,na Brentford mkaona sisi wabovu sawa sawa.
tulia ndugu mbona timu yako ya kawaida sanaMuchezaji anaitwa Lokonga jina kaa matacre ya nyani halafu munataka kushinda..
Mtaelewa tu taratibu nilimaa Isha Nini vibonde wakubwa Ninyi. Mmeshinda vimechi tudogo mnaharibu amani mitaani. Mtapoteana tu sana humuNafikiri amemaanisha hauna akili kwa hiyo hoja ya kipimbi ya kudai Arsenal kacheza na vibonde.
Kati ya hivyo vibonde unavyovisema viwili vimemnyima point Liva.
Of course HUNA AKILI
Lengo la Arsenal msimu huu ni top 4 si vinginevyo.Nimeangalia msimamo wa ligi arsenal na Man U ni tofauti ya points 3 tu.yaani ushindi mechi moja tu.
Kelele za ubingwa zitapungua kwa sasa.
Arsenal timu nyinyi wanazocheza nazo zinakaaga tu nyuma,ndio maana wakaanza kelele.
Wakipoteza mechi nyingine ndio watapoteana mazima.
yaani matokeo ya leo ni homework itakayomsaidia sana arteta kwenye hizi mbioNimeangalia msimamo wa ligi arsenal na Man U ni tofauti ya points 3 tu.yaani ushindi mechi moja tu.
Kelele za ubingwa zitapungua kwa sasa.
Arsenal timu nyinyi wanazocheza nazo zinakaaga tu nyuma,ndio maana wakaanza kelele.
Wakipoteza mechi nyingine ndio watapoteana mazima.
Your a naked stupidHUNA AKILI.
Sijatoa povu ila nilikuwa nakuambia ukweli,post yako inayosema kuwa arsenal imekutana na timu dhaifu ndio maana ipo hapo ilipo ndio imenifanya nikwambie HUNA AKILI.
na narudia tena huna HUNA AKILI.
Muulize PEP kilichomkuta jana hii ni EPL ....
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mmekosa tote!Leo Kuna Mambo Mawili Tu..!
Manjesta Ifungwe Na Arsenal..!
Arsenal Imfunge Manjesta..!
kamechi kengine tutakakoshinda ni chelseaMtaelewa tu taratibu nilimaa Isha Nini vibonde wakubwa Ninyi. Mmeshinda vimechi tudogo mnaharibu amani mitaani. Mtapoteana tu sana humu
Mechi 16 Oldtraford one win, 10 defeats, 5 draws
we have our missionLengo la Arsenal msimu huu ni top 4 si vinginevyo.
Na ni matakata kweli, yameliwa kisawasawa na mboleaMatakataka muda unawadia Sasa kwenda kukalia kitu kigumu ..vip mumejiandaaje? Pakeni mafuta ya kutosha na vilainishi vya kutosha ili mikukandamizwa musiumie Sana hahahaha ..naona jinsi mulivyo na puresha hahaha haitauma sana vumilieni wanangu arse8
relaax mkuu tuko better than ever,just ni matokeoNyie mbwa mlishaanza kunenepa na kitoka vitambi.
Shida bado zipo zinawaandama km hivi.
Arteta amefanya gamble kuwatoa Odegaard, Lokonga na Zinchenko kukiwa kumebakia dakika 20.
Hilo ndilo kosa pekee la Arsenal leo, otherwise tumecheza mpira mzuri bila kufikiria mbinu ya Machester United ambayo nilisema watacheza counter attack.
Hata hivyo bado twaongoza ligi na next march Europa league.
Hongera zao Manchester United kwa counter attacking football.
Mimi nimesikitika sana hizi bata kufungwa goli 3, leo zilitakiwa kwa kiwango cha chini kabisaaa zipigwe walau hata goli 6.Nilishasema mkaona naongelea ushabiki arsenal hana kikosi cha kumfunga man U mlivyoona tumepigwa na Brighton,na Brentford mkaona sisi wabovu sawa sawa.
Mnatakiwa muijue nafasi yenu, sio mnaanza ligi na vitimu vya kijinga halafu mnavimba vichwa.Team bado sana hii vs Top 6 teams daily vilio vilio tunaweza cheza vs Fulham Bournemouth away but sio kwa Top 6 teams ever
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
na hatukusema msimu huu tutakuwa unbeaten.watu wakae kwa kutulia tuTumekubali,acha tuendelee na hii marathon, there is always next time,hongereni man United,mmestahili.
ndoto hiyoYaani kuongoza ligi kwa points 3 dhidi ya Man U ni kama mko sawa ndio yale yale ya Chelsea msimu uliopita ni swala la muda tu mtatoka hapo juu na mtapoteza kujiamini maana wachezaji wenu wengi ni watoto.
just a dream na refa wenu wa mchongo.ila hongereni kwa matokeo.its another game at otMimi nimesikitika sana hizi bata kufungwa goli 3, leo zilitakiwa kwa kiwango cha chini kabisaaa zipigwe walau hata goli 6.
AsaniWali, AsaniMbuzi, AsaniBata leo zitajisifia sana humu kwa kuweza kuwadhibiti Man United wasiwafunge goli nyingi.
3-1 hongereni vibonde mmebahatisha leoLeo tuna maadui na big 4 wote, kisa tu tupo on top
Hizo roho mbaya
Nyumbu 0 vs arsenal 4
#COYG