Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matakataka muda unawadia Sasa kwenda kukalia kitu kigumu ..vip mumejiandaaje? Pakeni mafuta ya kutosha na vilainishi vya kutosha ili mikukandamizwa musiumie Sana hahahaha ..naona jinsi mulivyo na puresha hahaha haitauma sana vumilieni wanangu arse8 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Be it we lose or win, we shall still be on top
 
HUNA AKILI.


Sijatoa povu ila nilikuwa nakuambia ukweli,post yako inayosema kuwa arsenal imekutana na timu dhaifu ndio maana ipo hapo ilipo ndio imenifanya nikwambie HUNA AKILI.

na narudia tena huna HUNA AKILI.

Muulize PEP kilichomkuta jana hii ni EPL ....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Punguani na asiye na akili hapo vipi, kila mtu huku wankujua wewe zimesinyaa hizo akili zako
 
Nafikiri amemaanisha hauna akili kwa hiyo hoja ya kipimbi ya kudai Arsenal kacheza na vibonde.

Kati ya hivyo vibonde unavyovisema viwili vimemnyima point Liva.

Of course HUNA AKILI
Na mtapoteana hapa mtakapokutana na miamba, hauna akili na wewe kabisa na ndio maana wewe ni shabiki wa Arse anal
 
Kwaiyo ndo mmeona kuna kikosi cha kushindana na united hapa.
Screenshot_20220904-163715.jpg
 
Hii mechi itakua turning point kwa albert sambi Lukonga.

He is going to surprise us again for the stunning performance.

#COYG.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom