Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

logically tunahitaji penetration pass za maana.Kwaninavyoangalia game,ukubwa wa mechi,tempo ya mechi,calmness ya wachezaji,buildup play,phisicality ya wachezaji,technically na tactically I can finally say arteta na watu wake kuna kitu wanafanya na kinaonekana.Hii haitegemei matokeo yatakuwaje
 
Leo lazima tuwajazie nzi humu kenge nyie , sikuhizi kshinda hivyo vimechi viwili mmejaa viburi kauli mbovu mbovu , mmesahau nafasi yenu mnajiona title contender ,
How dare you ?
Bladi ful
ongea kishabik na kimpira kama hivi ulivyozungumza sio huo utoto wa kutuma picha zinazo kuexpose wewe ni mtu wa aina gani.
 
no matter what hapen hii game inakuonyesha sisi tunahatua kubwa mno katika structural play
 
Ni aibu refa kukataa goli la Martinelli.. naona hapa wanaumbuliwa kwa goli lingine la namna ile lilivyokubalika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom