OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Limepaniki ligaygooner🤣🤣🤣🤣🤣Ollashoga Oc timu lako Leo linafungwa Tena
Yaani hata kati kati ga mwezi wa tisa hujafika unawaza octb? Unesema hivi next three fixtures ukitoboa ndio utajua mbivu na mbichi.Mwezi October ndo mgumu tukitoboa huo, ndio tutajua mbivu na mbichi
Kuna 20K kama Jumapili saa 2:15 usiku mtakua mnaongoza ligi. Asante.Mbona unaweka taarifa nusu nusu? Toa na ahadi basi tujue tunafanyaje!
Unajua kuna timu zinafosi kuwa na mashabiki Tanzania hapa 😅Nyie matakataka Leo mnakaribishwa kushuhudia namna bingwa anavyotakiwa kuwa mnamo majira ya 19:30....na nasikitika kuwaambia kuwa Leo ndio Siku yenu ya mwisho kuongoza ligi maana baba mwenye nyumba anarejea kwaiyo wapangaji mkae kwa kutulia
Ollashoga huna timu ,leo westham wanakukaangaLimepaniki ligaygooner🤣🤣🤣🤣🤣
Angalia leo tunamfanya Nini WestHam. Next mujiandae kupakuliwa
#CFC💙💙💙
Unaumia ukiwa wapi?.....tuliaaaaa....kombe mtaendelea kulisikia kwenye bombaUnajua kuna timu zinafosi kuwa na mashabiki Tanzania hapa 😅
Timu Ina fans 4 😅😅😅😅 View attachment 2344163
Nmetupa jiwe gizani naona limempata muhusika...pole asee hapo bado nyumbu hawajakunyandua na kitimu chakoBaba mzima una nywele had makalioni ,unashabikia mancity ,Kuna namna watu waku ignore ,Kuna fyuzi hazipo sawa
Hata kina saka,Smith Rowe, Martinell, nketiah , Odegaard ,mnawafurahia Sasa ila awali hamkuwatakaSio heshima kumfananisha Lokonga na Partey kwenye uwezo.Basi tu majeruhi ila Lokobga sio mbadala wa partey.
Timu ikiwa kwenye form ni kawaida kumuona kila mchezaji ni mzuri,hii mbaya sana.Na hii isimdanganye Arteta akarelax
Naona umepata sehemu ya kuchat nao ,Kule kwenye jukwaa lenu unajiongelesha mwenyewe 😂😂😂Unaumia ukiwa wapi?.....tuliaaaaa....kombe mtaendelea kulisikia kwenye bomba
Arsenyeto bana.....kaa kimya huwezi bishana na champion ....nakukaribisha SAA 19:30 mchana mwemaNaona umepata sehemu ya kuchat nao ,Kule kwenye jukwaa lenu unajiongelesha mwenyewe 😂😂😂
Sasa hivi tunakudharau na humu
Naona hamjifunzi tu, January hakuna usajili wa striker ona ikatucost top 4.Mbadala wa Partey Ni Elneny Ndio maana aliongezewa mkataba ,Ni nyie Ndio mlitaka asajiriwe mbadala Mwingine ,kitu ambacho Arteta hakuwa na mawazo hayo
Unfortunately Kuumia kwa Elneny Ndio kumesababisha hata kwenda kwa Luiz na Danilo
Binafs na iman na Lokonga na Ndio itakuwa turning point ya kumsahau Partey
Hata kina saka ,Smith Rowe,martinel,nketiah walipata nafas baada ya pepe ,willian,auba,laca kuharibu na tukaamin bila wao Hawa madogo hawatatusaidia kitu
The rest is History
Lokonga uzuri coaching staff wanamuamin Sana na atafanya vzr TU
Mechi na astonvilla kafanya vzr
Kwasasa Arsenal ina structure Ndio maana hata Elneny alicheza juz na Fulham tukatawala mpira kwa 70+%
Juz na Villa bado lokonga kafanya vzr
Why? Kuna structure IPO na wachezaj wanajua kuitafsiri,
Mwisho Partey nje wiki 2 ,
By then it'll be too late, the need for a back up to partey was obvious. There's gross negligence in the management which may prove fatal come the end of the season.Let us pray that no more injuries are sustained between now and January. Why panic buy when there is ample time to plan your needs?
Lokonga akiwa na mpira anafanya kila kitu anachofanya Thomas Partey, utofauti wao ni experience.Sio heshima kumfananisha Lokonga na Partey kwenye uwezo.Basi tu majeruhi ila Lokobga sio mbadala wa partey.
Timu ikiwa kwenye form ni kawaida kumuona kila mchezaji ni mzuri,hii mbaya sana.Na hii isimdanganye Arteta akarelax
But liverpool na Chelsea wamefanya panic buys ila kwa mkopo. Ili hata ikifeli hakuna obligation ya kumnunua.Hii ndio logic
Aaron Arsenal na ndio alichomaanisha
Na mimi nikiwa na akili timamu nakubaliana na hili
Right player at a right price
Bora tusifanye usajiri kuliko kupigwa mchana kweupe
FACTNaona hamjifunzi tu, January hakuna usajili wa striker ona ikatucost top 4.
Msimu huu hakuna DM wa kueleweka maana partey ni injury prone na pia ana kesi so anaweza asimalize msimu hapo hapo Eleneny sio reliable back up kama unataka kuchallenge for titles!!
Mtakuja hapa kulialia baada ya msimu kuisha tukiwa nafasi ya 8 huku DM ikitucost.
We need a CDM Hilo lilifahamika ni ujeuri tu wa Arteta kudhani timu ni perfect kisa ipo top. Jamaa akifeli this time atimuliwe tu maana naona hajifunzi tu kwa makosa yake.
Punguza makasirikioBut liverpool na Chelsea wamefanya panic buys ila kwa mkopo. Ili hata ikifeli hakuna obligation ya kumnunua.
Sisi tumeshindwa hata kumchukua kwa mkopo mtu yoyote wa kucheza CM/DM?
Hii itatu cost na lawama zitaanza jumatatu pale lokonga akidhalilishwa na kina Casemiro na Eriksen!! Tutarudi humu kulalama tena.
@Aaron Arsenal wote sisi tunaipenda team yetu but wewe umeweka mahaba kuliko facts kuna muda ulipotea miezi humu after vipigo vya mfululizo last season tulipiga kelele asajiliwe forward na Arteta na Edu wakakausha uliona end of the season nini kilitokea?partey ni injury prone pale league itakavyoanza kuchanganya utakuja kuona replacement yake jinsi ilivyo muhimu (nakukumbusha Arsenal ilikosa top 4 sababu yake pia) kumbuka last season hatukuwa na any European competition na kumbuka November ni world cup now tupo Europa league na hakuna kupumzika ni week after week tutakuwa tunacheza na uhakika kwa middle ya Partey lazima atarudi upya kwenye majeruhi na pia inawezekana hata kina Saka pia wakarudi huko usijidanganye kuwa last season ilikuwa hivi now itakuwa hivi no wayHata kina saka,Smith Rowe, Martinell, nketiah , Odegaard ,mnawafurahia Sasa ila awali hamkuwataka
Wakati Pepe a €80m winger yupo RW ,Kuna watu hawakutaka kukubaliana na Arteta Kama Saka kutoka LB angekuja kumuweka bench had Pepe kukimbia Ligi
Wakati Smith Rowe anapewa Nafas most mlilalamika mkitaka asajiriwe Hossam Aour ,
Hata Odegaard baada ya loan hamkutaka arejee Tena arsenal mkataka asajiriwe buendia au maddson injury prone kwa £60-80m
Kuna mdau humu Kama sio mkorea basi nimemsahau alisema kama akiumia Partey tunalalamika haina haja ya kupigia watu kelele
Kuumia kwa Partey huenda ikawa turning point ya Lokonga kupita walipopita kina saka, Martinell,ode,Rowe,
Albert sambi lokonga uzuri anaaminiwa na bench la ufund kuliko mashabiki, ambao mlitaka Nuno Tavares atolewe hata Bure , but klabu ikasema itamtoa mkopo dry Kama kumuuza Ni kuanzia £40m ,now anakiwasha ligue 1
Wakati msimu uliopita ameumia xhaka, baada ya mech na Spurs , baada ya pale Dimba walikamata Partey na lokonga na tukashinda mech kibao,
Kwa MUJIBU wa premier league lokonga amesababisha kosa moja tu na ilikuwa dhid ya palace wote na Partey walikosea siku hiyo.
NASIMAMA NA ALBERT NA KESHO ATAIFURUMUSHA MANYUA View attachment 2344204