Lengo la Arsenal lipo palepale kucheza champions league msimu ujao.TANGAZO
Tarehe 04/09/2022 ndiyo mwisho kwa klabu ya Arsenal kuongoza msimamo wa ligi kuu Uingereza, hivyo mnakumbushwa wote kupiga selfie, kuscreen shot msimamo wa ligi kama kumbukumbu ya kudumu kua mliongoza ligi kwa mechi za 5 (tano) za kwanza za msimu 2022/2023.
Sasa jipangeni kupigani nafasi ya kubakia top 4.
Upatapo tangazo hili, mtaarifu na shabiki mwenzako wa Arsenal.
Imetolewa na Mbabani 02/09/2022 saa 18:19.
Asante.
Arsenal wamejifunza kuwa panic buys zina matatizo hazileti afya.Nashindwa elewa Aaron Arsenal anawaza nini anavyosema ni sahihi hatujasajili.
Partey anaumia tunapoteza games.
Tushajua tunahitaji kiungo.
Dirisha limefika. Hatujasajili.
Na Aaron anaona ni sahihi simply kwakua wao wanajua wanachofanya?
Kocha ilibidi ajue target ni nani na akifeli option B ni nani. Hii ndiyo logic. Tumeingia kwenye dirisha hatujaaddress sehemu ya msingi lakini Aaron anaona sahihi?
Mbona unaweka taarifa nusu nusu? Toa na ahadi basi tujue tunafanyaje!TANGAZO
Tarehe 04/09/2022 ndiyo mwisho kwa klabu ya Arsenal kuongoza msimamo wa ligi kuu Uingereza, hivyo mnakumbushwa wote kupiga selfie, kuscreen shot msimamo wa ligi kama kumbukumbu ya kudumu kua mliongoza ligi kwa mechi za 5 (tano) za kwanza za msimu 2022/2023.
Sasa jipangeni kupigani nafasi ya kubakia top 4.
Upatapo tangazo hili, mtaarifu na shabiki mwenzako wa Arsenal.
Imetolewa na Mbabani 02/09/2022 saa 18:19.
Asante.
yaani we jamaa ni mchekeshaji pureOyaaa mtuachie iyo nafasi yetu maana tutakuja kwa Kasi yaa mwanga achana na sisi ..nyie tafuteni pa kujificha maana huu usajili Ni tishio ..tutaleta misiba kila mahala..hahahaha
OkNime save hii post for future reference
Sijasema Ni sahuhi, ila Kama umemsikiliza Arteta utakubaliana nae, Eneo la kiungo Arteta hakutaka kuongeza mtu ,zaidi eneo la winga tuNashindwa elewa Aaron Arsenal anawaza nini anavyosema ni sahihi hatujasajili.
Partey anaumia tunapoteza games.
Tushajua tunahitaji kiungo.
Dirisha limefika. Hatujasajili.
Na Aaron anaona ni sahihi simply kwakua wao wanajua wanachofanya?
Kocha ilibidi ajue target ni nani na akifeli option B ni nani. Hii ndiyo logic. Tumeingia kwenye dirisha hatujaaddress sehemu ya msingi lakini Aaron anaona sahihi?
Mbadala wa Partey ,wanayemtaka Ni wamuda mrefu sio was muda mfupi hivo waliona Kuna Elneny why watumie pesa NDEFU,Ukisoma post nyingi za Aaron Arsenal utagundua he is overzealous, kwa hiyo tumuelewe hivyo na tumuache alivyo
Mbadala wa Partey Ni Elneny Ndio maana aliongezewa mkataba ,Ni nyie Ndio mlitaka asajiriwe mbadala Mwingine ,kitu ambacho Arteta hakuwa na mawazo hayoNashindwa elewa Aaron Arsenal anawaza nini anavyosema ni sahihi hatujasajili.
Partey anaumia tunapoteza games.
Tushajua tunahitaji kiungo.
Dirisha limefika. Hatujasajili.
Na Aaron anaona ni sahihi simply kwakua wao wanajua wanachofanya?
Kocha ilibidi ajue target ni nani na akifeli option B ni nani. Hii ndiyo logic. Tumeingia kwenye dirisha hatujaaddress sehemu ya msingi lakini Aaron anaona sahihi?
Ndio nimewaambia hapa ,wanasema nafurahia kutosajiri mbadala wa ParteyArsenal wamejifunza kuwa panic buys zina matatizo hazileti afya.
Hata Tielemans wamefikia uamuzi wa mwisho kwamba si DM ngangali na jana ameshindwa kuwazuai Manchester United kufunga maana walitawala midfield.
Ndo maana alipobadilishwa alionekana kukasirika sana maana aliona amekuwa "exposed" kweupe.
Ndugu, mpira katika nchi za wenzetu si tu kushangilia, kuna mambo mwengi behinnd the scenes hufanyika khasa kwenye usajili, na performance ya wachezaji.
January si mbali na Arsenal tayari wanapanga kumsajili Danilo na hata huyohyuo Luiz huenda wakamsajili January kwa bei ya chini zaidi ya sasa maana atakuwa amepunguza miezi mitatu katika mwaka mmoja alibakiza.
Hivyo Edu na Arteta sisi wapenzi wa Arsenal twaona kwamba safari hii transfer market wamefanya safi kabisa na well timed.
Sasa game la kesho Arteta ana options ya kumchezesha Ben Wite kama namba DM kuziba nanfasi ya Partey na Elneny. White amecheza nafasi ya beki wa kulia na amechezaq uzuri sana kiasi cha kumweka bench Tomiyasu, hiyo ilikwua ni katika test kuona kama aweza kutumia pale katikati.
Akiwa msimu wa mwisho kabla ya kuja Arsenal pale Brighton licheza kama DM na kabla ya hapo akiwa Leeds United (msimu wa 2019/20), Ben White amecheza nafasi hiyo ya DM hivyo ni mchezaji "versatile" na aweza kutumika kutusukuma kesho dhidi ya Machester United.
Hivyo kesho Tomiyasu aweza kuanza kama RB na White akaenda kucheza kama DM wakimsaidia Xhaka au Lokonga akaendelea maana ame-improve sana dogo khasa kutokaa sana na mpira, hizo zote ni options.
Hivyo nio panic, Arsenal tunae emergence DM na ni Ben White hivyo tutulie tusubiri game.
Danilo ndo priority kwa sasa mazungumzo yanaendelea, na huenda akasajiliwa January.Elneny alikuwepo na tulimpa mkataba sababu tukijua kabisa kwenye usajili nguvu tunaelekeza kwingine.
Be sure the next two transfers we will go hard for a DM, CM and a winger
Hii ndio logicArsenal wamejifunza kuwa panic buys zina matatizo hazileti afya.
Hata Tielemans wamefikia uamuzi wa mwisho kwamba si DM ngangali na jana ameshindwa kuwazuai Manchester United kufunga maana walitawala midfield.
Ndo maana alipobadilishwa alionekana kukasirika sana maana aliona amekuwa "exposed" kweupe.
Ndugu, mpira katika nchi za wenzetu si tu kushangilia, kuna mambo mwengi behinnd the scenes hufanyika khasa kwenye usajili, na performance ya wachezaji.
January si mbali na Arsenal tayari wanapanga kumsajili Danilo na hata huyohyuo Luiz huenda wakamsajili January kwa bei ya chini zaidi ya sasa maana atakuwa amepunguza miezi mitatu katika mwaka mmoja alibakiza.
Hivyo Edu na Arteta sisi wapenzi wa Arsenal twaona kwamba safari hii transfer market wamefanya safi kabisa na well timed.
Sasa game la kesho Arteta ana options ya kumchezesha Ben Wite kama namba DM kuziba nanfasi ya Partey na Elneny. White amecheza nafasi ya beki wa kulia na amechezaq uzuri sana kiasi cha kumweka bench Tomiyasu, hiyo ilikwua ni katika test kuona kama aweza kutumia pale katikati.
Akiwa msimu wa mwisho kabla ya kuja Arsenal pale Brighton licheza kama DM na kabla ya hapo akiwa Leeds United (msimu wa 2019/20), Ben White amecheza nafasi hiyo ya DM hivyo ni mchezaji "versatile" na aweza kutumika kutusukuma kesho dhidi ya Machester United.
Hivyo kesho Tomiyasu aweza kuanza kama RB na White akaenda kucheza kama DM wakimsaidia Xhaka au Lokonga akaendelea maana ame-improve sana dogo khasa kutokaa sana na mpira, hizo zote ni options.
Hivyo nio panic, Arsenal tunae emergence DM na ni Ben White hivyo tutulie tusubiri game.
Arsenal next 5 Crucial Premier League games:Let us pray that no more injuries are sustained between now and January. Why panic buy when there is ample time to plan your needs?