Aserwali vile mnavyo jitapa[emoji16][emoji16]baada ya mechi tutakutana hapa.Granit Xhaka na Sambi wanatosha sana ku dominate katika eneo la middfield endapo Sambi ata maintain Kama mechi ya juzi.
Sioni Nyumbu akitoka kabisa[emoji16]..
Yule bladifakeni lazima afe pale pale kwenye matofali ya kuchoma.
Kumfunga man ni swala ambalo lipo uchi kbsa mi ninachowaza ni majeruhi tu ya wachezaji na hatujafanya usajiliGranit Xhaka na Sambi wanatosha sana ku dominate katika eneo la middfield endapo Sambi ata maintain Kama mechi ya juzi.
Sioni Nyumbu akitoka kabisa[emoji16]..
Yule bladifakeni lazima afe pale pale kwenye matofali ya kuchoma.
factMy worry is on squad depth. Yaani hapa panaweza kutuvuruga tukapotezana na wengine kukimbia jukwaa
Maskini mashabiki wa arsenyeto mpaka unawaonea huruma...wana expect vitu ambavyo timu yao haiviwezi....hichi kikosi ndio cha kuchukua EPL?mtaniita mbwa Niko hapa
Ben whiteMy worry is on squad depth. Yaani hapa panaweza kutuvuruga tukapotezana na wengine kukimbia jukwaa
Nakataa. Arsenal ilikuwa haina plan ya kusajili DM hata siku moja. Back up ya Partey alikuwa Mo. Bahat mbaya likawakuta wote la kuwakutaTuamue tu kua positive sasa lakini reality tuko mtegoni
Uhitaji wa kuongeza kiungo na winger ulikuwepo ata kabla ya mejeraha ya Partey na elneny na ata Edu na Arteta walikili na wali tuaminisha wana lifanyia kazi
Kwahiyo kutokusajili n kwamba tumeshindwa tu, tusilete justification
Sijui nini, sijui nini n tumeshindwa that's all.
Najua wewe Nyumbu na litimu lako huliaminiNyie Taka taka fc.
Mwisho wa tambo zenu umefika.
Mshatamba sana mpaka kero sasa, game tano tu, vidole juu kama Isha Mashauzi.
Juma pili tunawapasueni mpaka mukome.
Usidharau goli moja, hakika goli moja kwa ngurue ni watoto buku jero.
Ben white
Sambi
Zinchenko
These both they can play where Thomas and Elneny Play.
Shida yenu ni ipi?
Back up players hawezi lipwa pesa yote hiyo hata siku Moja labda akacheze Manchester au Chelsea.
Trust the process, hatuna wengi Ila tunao Bora wa kufanya kinachotakiwa kufanyika
Acheni kulalamika sana watu wanamipango yao huyu Douglas na tilemans tunawez kuwapata kwa bei ndogo sana mwez wa 12
Edu na Arteta wanaelewa wanachofanya,they all need quality and not quantity ndo maana mnaweza kuona wanajua mambo yashachafuka Sokoni lkn bado wanatoa watu nje.
Niles si kiungo Yule?
Azeez si kiungo Yule?
Hector si beki yule kwann ametolewa akabaki Cedric?
Hawa watu wanajua wanachofanya , wanajua mahitaji, wanajua ugumu wanaoupata kwenye kufanya haya bad lucky to us we always drawing imagination and conclude that football management, coaching and playing that game is an easy task
Hiv Hamna group la whatsapp la arsenal fansMy worry is on squad depth. Yaani hapa panaweza kutuvuruga tukapotezana na wengine kukimbia jukwaa
Arsenal tunayo quality, City anatuzidi depth, tuna nafasi nne tu zinazohitaji either rotation or upgrade, LCB, RW, LCM, #6.Any way moja kati ya mambo yatakayowagharimu mashabik nikuhisi kwamba this is our season.BIG NO, ukiangalia kwa jicho la kimpira mbali na ushabiki sisi bado tuko mbali kutoka alipo man city kwa depth na quality.ili kufikia alipo city na kuchallenge tunahitaji capital investment na time investment.Pep alifanya capital investment ya hali ya juu mno na ndo maana ameleta na kuondoa wachezaji wengi ambao hawakufaa mfumo wake.yaani kumsajili mtu kwa 80£ asipofiti akamweka nje na kumuuza kwa bei ya hasara haoni shida.
kila timu inautamaduni wake ndani na nje ya uwanja.
kila timu inawamiliki wake na kila mmiliki anabusiness plan yake.tambua hilo.
kila timu ina financial status yake na aproach yake in terms of wage bills na market spending.
kila timu ina manager au kocha wake na kuna wanaoamini pesa itajenga kikosi na kuna wanaoamini MUDA na PESA vitajenga kikosi.
kama mnaamini arsenal board ni wabahili kawaulize liverpool na FSG yao.
Arsenal kwenye project yao mpya walianza na [potential players] kisha wakaja na quality players msimu huu.vieira ni potential na maquinhos potential pia.nafasi ya winger wanataka kumpa nafasi maquinhos baada ya kuondoka pepe.na vieira atakaa hapo kati.wanataka kuwa asess ili january wajue wanaziba wapi.
msimu huu tunatafuta kuingia top 4 only.na keep in mind tukiingia top 4 kuna striker mpya atasajiliwa kuendana na mahitaji.