chizi yule timu ya taifa ya brazil inatengenezwa arsenalGabriel dos Santos Magalhães
Douglas Luiz Gabriel Soares de Paulo
Gabriel Teodoro Martinelli Silva
Gabriel Fernando de Jesus
Edu.
Nimecheka Kama mazuriTukimpata Douglaus Luiz that means atakuwepo next time dhidi ya nyumbu, kweli mwenge hauruki kijiji.
Alisikika kibwengo mmojaHad jion tunashusha kiungo ,jpili tunamtandika nyumbu , tunashinda mech 2 zinazokuja plus za Europa 2
Tunaenda International break tunarud majeruh wapo fit jumlisha na Usajiri mpya tunakiwasha Tena had round ya 1 inaisha tushatoa dozi za kutosha
Naona mmechoka kujiongelesha jukwaa lenu, unatembea huku kutafuta mabwanaAlisikika kibwengo mmoja
VP ushaamka toka ndotoni? .Naona mmechoka kujiongelesha jukwaa lenu, unatembea huku kutafuta mabwana
Mwenge hauruki kijiji mkuuTukimpata Douglaus Luiz that means atakuwepo next time dhidi ya nyumbu, kweli mwenge hauruki kijiji.
Bado tu hawajamalizana nayeDouglas Luiz anatarajia Villa na Arsenal kufikia makubaliano ya kusaini katika klabu hiyo ya London saa chache zijazo. Mchezaji amezungumza na Edu jana usiku na ana hamu ya kuhama.