Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kuna chombo aliwekewe na martinel akakosa lilikua swala la kugusa tu daah,Every single Arsenal fan can tell you that Bukayo Saka has been at, at most, 60% this season and the absolute mad lad still has 3 assists in 5.
Atakuwa shabiki la nyumbu au cheltako, hao ndio wanaumia sana.Simpatii picha Richard keys anajiskiaje huko alipo, jamaa ushindi wetu una miumiza mpaka hajifichi[emoji1787][emoji1787]
Hata martinielli ame improve sana ni mara chache mno anapoteza mpira.Kwa mara nyingine katika mwezi huu nuno anakuwa man of the match; jambo la kujifunza hawa wachezaji wenye umri mdogo wanahitaji game time na muda ku improve; watu walimponda sana Nketiah ila kaja kuwa prove wengi wrong. Same kwa Sambi, badala ya kumpa mchezaji pressure support him esp akiwa na umri mdogo.
Analalamika kwamba tunashangilia sana[emoji2]Atakuwa shabiki la nyumbu au cheltako, hao ndio wanaumia sana.
Upo dunia ipi ndugu?Tieleman dili ndo limekufa inawezekana tusisajili kabisa