Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Imekanushwa toka mchana ,Arsenal hawana mpango naeArsenal agree personal terms with forward ahead of £21 million transfer: Reports
Arsenal have agreed to personal terms with Ukrainian winger Mykhaylo Mudryk, with the Gunners intent on signing the Shakhtar Donetsk player, according to The Sun
Wasiwasi wa nini ?Kwa jinsi tulivyocheza leo naanza kuwa na wasiwasi huko mbeleni.
Anyway, ushindi ni ushindi, point tatu muhimu.🔥👏
Tumeruhusu sana jamaa kuleta pressure kwenye lango letu. Yaani mpaka benchi pale kila mtu alisimama akitaka game iishe.Wasiwasi wa nini ?
Leo kikwazo alikuwa Martinez maana ana mdomo Sana
pia huwa anakamia ,angekuwa kipa mzembe tungeshinda hata 5
Tumepiga on target nadhan 10 zimefika
pia weka akilini kwamba kwa EPL hii unafungwa na yeyote,muda wowote na mahali popote.walichofanya vijana ndo tulikikosa kwa miaka mingi,huitaji kufunga kila mechi ila unahitaji kushinda kila mechi.Wasiwasi wa nini ?
Leo kikwazo alikuwa Martinez maana ana mdomo Sana
pia huwa anakamia ,angekuwa kipa mzembe tungeshinda hata 5
Tumepiga on target nadhan 10 zimefika
hapo ndipo umuhimu wa partey na wachezaji jamii ya cazola,benado silva nk wanapohitajika.yaani wakati timu inashambuliwa na inapaniki anakuwepo mtu anayeweza kaa na mpira na timu ikatulia.wachezaji wa aina hii mimi huwa nawaita drivers.Tumeruhusu sana jamaa kuleta pressure kwenye lango letu. Yaani mpaka benchi pale kila mtu alisimama akitaka game iishe.
Tukikutana na timu zinazopress sana naliona balaa linakuja.
Zile dakika Ni Arteta mwenyewe huwa anafanya vile kulinda magoliTumeruhusu sana jamaa kuleta pressure kwenye lango letu. Yaani mpaka benchi pale kila mtu alisimama akitaka game iishe.
Tukikutana na timu zinazopress sana naliona balaa linakuja.
Let's hope kwamba ataletwa mtu wa kazi pale dimba la kati.Zile dakika Ni Arteta mwenyewe huwa anafanya vile kulinda magoli
Anamtoa Jesus ,akamleta nketiah na holding kwa ajiri ya kulinda goli
Sokoni tusubiri kesho Kuna asilimia kubwa tukashusha mtu
Mikel Arteta kuhusu kama jeraha la Elneny litaathiri mipango ya uhamisho:
"Ni wazi hilo lina athari kwa sababu vilevile, Thomas ni majeruhi, tuna upungufu kidogo katika nafasi hiyo. Tuna Sambi, tuna wachezaji kama Granit ambao wanaweza kucheza huko. Tunaangalia chaguzi tu kwenye soko.
Wana timu yakufanya hivo? Arsenal ya Sasa hata ukiwekwa wewe pale ,zitapigwa pass 500+ngoja man united wawavuruge kwanza tare4 mtajua hamjui
Najua inauma ila Vumilia tu tena Kaa kwa kutulia na kijora chako,Maskini mashabiki wa arsenyeto mpaka unawaonea huruma...wana expect vitu ambavyo timu yao haiviwezi....hichi kikosi ndio cha kuchukua EPL?mtaniita mbwa Niko hapa
Na kawaida ya mwenge hauruki kijiji 😂Taharifa imfikie nyumbu
“Jana mwenge ulikuwa kwa A.Villa amepiga nao picha. j2 mwenge utakua zamu yenu kupiga nao picha mkae kwa kutuli”