Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mzee baba tunapiga wote hao akiwepo na nyumbuLeo ndio mwanzo wa mwisho wao kukalia kiti cha uongozi wa ligi.
Leo akijitahidi sana ni draw halafu ana mechi nyingine 3 mbele za kukosa ushindi.
AsaniWali, AsaniUbwabwa, AsaniMandondo leo ndio mwanzo wenu wa kutumia mkongojo halafu jumapili mnapasuka si chini ya goli 4.View attachment 2341046
Aston villa ata akicheza lokonga, points tunachuku vizuri tuLeo ndio mwanzo wa mwisho wao kukalia kiti cha uongozi wa ligi.
Leo akijitahidi sana ni draw halafu ana mechi nyingine 3 mbele za kukosa ushindi.
AsaniWali, AsaniUbwabwa, AsaniMandondo leo ndio mwanzo wenu wa kutumia mkongojo halafu jumapili mnapasuka si chini ya goli 4.View attachment 2341046
ParteY mpuuzi sana ndo shida ya wachezaj wa kiafrika kudanganya umri. Yan key player kweny team anacheza Mechi 4 Injury ana miss game tatu akirud tena ivo ivo. Huy jamaa wamuuze maan tunawez kujion tuna kikosi kipana kumbe upuuz.Fixtures Thomas Partey is expected to miss through injury:
◉ Aston Villa (H)
◎ Manchester United (A)
Yes, nimeona sasa Arsenal wameeleza, lakini article iliyokuwa published leo asubuhi saa 4 UKT hakuwa kwenye orodha ya majeruhi—probably alikuwaa accessed.Ndugu , Elneny Ni injury ,hata yeye kapost IG
Huyu Vieira kwanini hachezi?
Weka White katikati.
Kulia rudisha Tomiyasu.
Kocha anajua zaidi.Huyu Vieira kwanini hachezi?
Weka White katikati.
Kulia rudisha Tomiyasu.